Jakaya Kikwete: Mandela tutakukumbuka daima

Mutoto ya mujini alikura bata mpaka na raia
Kama wanaokuzunguka watakuwa na furaha, nawe utakuwa na furaha daima. After-all, Management is about doing things through other people. Huna haja ya kujipa pressure kwa kung'anga'nia kila kitu ni lazima kifanywe na wewe.
Na wewe unapata nafasi ya kubakia na muda wa kukutana na viongozi wenzako. Cheki hapo chini.
 
Anachokifanya Magufuli ndiho wanchokifanya nchi zote zilizoendelea. Kuhakikisha pesa yote ya walipa kdoi inatumika kama inavyostahili.

Nina tofauti kadha wa kadha na Magufuli, ikiwemo ya kutotoa ajira, kuondoa watu kwenye ajira na kutotoa promotion kwa wanaozistahili -- huo ni ubahili binafsi usio na misingi yoyote ya kisheria.

Lakini kwa hili la kucontrol pesa zisiliwe na wajanja waliojivika ubosi, mzee yuko vyema sana.
 
Mkuu nani amwambie ata mjasiriamali mwenyewe uwa anafundishwa kula bata akipata faida
 
japo magufuli namkubali ila kikwete ni rais bora kuliko wote tuliowahi kupata...

ana roho nzuri sana na mjanja anajua kuendesha nchi

angalia hapa anawapa pole raia wake kwa mafuriko buguruni kwa mnyamani

mwingine hapa angesema kwanza mmejenga mabondeni... bila kujali uwezo tunatofautiana sio wote wanaweza nunua viwanja vilivyopimwa au sehem nzuri... na tanzania ni nchi yao pia lazima waishi hata kama nyumba za tembe
 
Nilazima tumkumbuke coz mzee Mandela hakuwa mtu wa siasa pesa..uchama ndi hakutaka ukumbatia
 
Mzee alikuwa vizuri sna nataman arudi coz huyu mzee mwingine tiliyenae anajidai Ana uchungu xn na wanyonge bt nothing, mzee hataki kutoa ajira, kufanya promotion kwa watumishi, no freedom of speech,yani hapo naudhika xna nataman kahama nchi kbxa.
 
Anachokifanya Magufuli ndiho wanchokifanya nchi zote zilizoendelea. Kuhakikisha pesa yote ya walipa kdoi inatumika kama inavyostahili.

Nina tofauti kadha wa kadha na Magufuli, ikiwemo ya kutotoa ajira, kuondoa watu kwenye ajira na kutotoa promotion kwa wanaozistahili -- huo ni ubahili binafsi usio na misingi yoyote ya kisheria.

Lakini kwa hili la kucontrol pesa zisiliwe na wajanja waliojivika ubosi, mzee yuko vyema sana.
Ya ni kweli. Nani lakini anahusika na manunuzi ya kile kivuko walichorithishwa Jeshi? Kama kila mtu akiwa mkali, unafikiri nini hatima ya alinunua kile kivuko? Busara na hekima ni muhimu sana katika utawala wowote ule?
 
Mzee alikuwa vizuri sna nataman arudi coz huyu mzee mwingine tiliyenae anajidai Ana uchungu xn na wanyonge bt nothing, mzee hataki kutoa ajira, kufanya promotion kwa watumishi, no freedom of speech,yani hapo naudhika xna nataman kahama nchi kbxa.
Na pia anatamani kuifanya Chaaaaaato kuwa ulaya. Project zinakwenda hata kama hazikuwa kwenye Budget. Wangefanya wengine ungesikia majibu yake.
 
Huwa anapitia comments zenu afu anacheka Kile kicheko chake. Hakuna MTU asiyekuwa na mapungufu ila ya awamu hii ni kero sijapata pitia toka awamu ya kwanza.. Nimefunga biashara na nimeacha hata kulima hali tete.. Mara ya kwanza mazao yangu yamekauka yote sasa najiuliza mvua hii imerudi ninunue mbegu tens au nipotezee.. Ila narudi Shamba..
 
Alafu uku akiwa anakuna pale juu kwenye utosi. Mtegeta anamatatizo sana yule.
Pole sana Kiongozi, ila usiache chochote kati ya hivyo.
Kwa upande wa biashara inawezekana hukufanya kitu kinaitwa SWOT analysis, lakini inwezekana hukuangalia 5 parameters of the marketing (5P) zinazomaanisha, Price, promotion, Place, Product na People.
Kama ungefanya hizo usingeyumba sana. Usijali biashara aka ujasiriamali huwa na ups and down kibao.
Kuhusu mazao, usipande kwa kuiga. Panda kwa kuangalia hali ya hewa. Hope kilimo unacholima sio cha umwagiliaji. Kama ndio, lima kilimo kinachohitaji mvua kidogo. Waone wataalamu wa kilimo ulio karibu nao wakushauri. Ila naamini bado hujachelewa na bado hujapata hasara sana.
Gday Mkuu.
 
japo magufuli namkubali ila kikwete ni rais bora kuliko wote tuliowahi kupata...

ana roho nzuri sana na mjanja anajua kuendesha nchi

angalia hapa anawapa pole raia wake kwa mafuriko buguruni kwa mnyamani

mwingine hapa angesema kwanza mmejenga mabondeni... bila kujali uwezo tunatofautiana sio wote wanaweza nunua viwanja vilivyopimwa au sehem nzuri... na tanzania ni nchi yao pia lazima waishi hata kama nyumba za tembe

Iman Mkuu, kuna wengine huabudu mizimu ya kwa wale Wa-nigeria. Waabudu miungu mizimu huwa hawana huruma wala utu, kafara ndio huwa furaha yao kubwa.
 
Back
Top Bottom