Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
2,768
Points
2,000

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
2,768 2,000
Kuna mbunge wa Kinondoni alitajwa sana kwenye mapapa wa unga , Polisi wakasema eti yeye yuko klini. Leo mnamfuata zezeta Chid Benz, mnawaacha waingizaji mnsdili na waathirika, very funny
Kwangu Mimi aliye kamatwa na ngozi ndiye mla nyama! Kila mtu anasema hawa ni dagaa basi wewe tutajie huyo papa ni nani?
 
tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,332
Points
2,000

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,332 2,000
Baada ya kutajwa watumiaji na baadhi ya askar wanaokwamisha ukomeshji wa matumiz ya dawa za kulevya. Kelele zimezuka kila kona kwamba makonda anafanya utani na watanzania maana aliowataja hata sio tishio kwa janga hili. maana yake kuna ambao ndio wenyewe haswa!! Sasa ili turahisishe hii kazi tuweke majina yao hapa ili turahisishe kaz ya viongoz wetu kuwatafuta.

Tuache utani kwamba hawa vijana wasanii ndio tishio kwa madawa ya kulevya nchini bali nao ni waathirika . Hivyo kuna wenyewe haswa. Tuwawekee majina hapa wakishindwa kuwakamata hiyo shaur yao sisi tutakua tumefanya sehem yetu.
 
Santi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2016
Messages
527
Points
1,000

Santi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2016
527 1,000
U hav a Point...

Hii vita si ya kinyonge kama watu wanavyofikiri.

Mwisho wa siku wakaishia ku deal na hawa hawa wadogo alaf wale majambaka wenyewe wanakula bata na dada zetu.
Hahaha umesema kweli mkuu, sasa kwenye hii list ya Makonda nimeona ametajwa Chid Benzi kama muuzaji; najiuliza hivi Chid Benz ni muuzaji ama mtumiaji? kama ni mtiumiaji mbona ile list yake ina watu wachache sana!!!! Kama ni muuzaji basi ni kweli mwisho wa siku wataishia ku deal na hawa hawa wadogo halafu madon wenyewe watabakia kula mabata tu mtaani.
 
GREGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
4,144
Points
2,000

GREGO

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
4,144 2,000
Tatizo ni kwamba sisi wa uraiani stori hua nyingi lakini ushahidi ni tatizo, kuna jamaa miaka miwili nyuma hapa Dar alikua ananunua sana nyumba za watu wakadai ni dealer, na ana ubarikio wa mtoto wa raisi.
Yule jamaa akaja kutajwa na Mange Kimambi kua ni dealer lakini sisi wa uraiani na Miss Kimambi what we have in common (I think) ni kwamba hatuna ushahidi kama jamaa ni dealer kweli ni stori za mtaani ndiyo tunazitumia.
Vijiwe vya kahawa,???
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,805
Points
2,000

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,805 2,000
Miaka ya 80 mwishoni na 90 mkoa wa Mbeya kulikuwa na Jambazi mmoja maarufu sana alikuwa anafahamika kwa jina la Jombi. Alikuwa maarufu na tajiri. Yeye alikuwa na mtandao mkubwa sana na inasemekana Polisi wengi wakubwa walikuwa kwnye payroll yake kwa njia moja au nyingine pamoja na wanasiasa. Huyu bwana alikuwa akiiba magari TZ anaenda kuuza SA au Zambia na akiiba huko analeta TZ.

Pia alikuwa akifanya Ujambazi mwingine wa humu humu ndani kwa umakini mkubwa sana. Ilikuwa ikitokea anatakiwa akamatwe kuhojiwa anapigiwa simu aende kituoni au anaambiwa kesho kuna vijana wanakuja. So anajiandaa anavyojua. Siku mbili tatu mnamwona mtaani anadunda kama kawaida. Ni Mkapa alikuja kumkamata huyu mweshimiwa Jambazi.

Nimerudia habari hiyo kwa kufananisha na kile kinachoendelea hapa nchini. Kusema wauza madawa wa kulevya wakubwa hawafahamiki ni uongo mkubwa na utatupeleka motoni. Wanafahamika sana wengine ni watoto wa viongozi na viongoz wenyewe, wengine ni wabunge na makada wa vyama vyetu, wengine ni wafadhili wakubwa wa vyama na timu zetu, wafadhili wa wanamuziki, wasanii na wenye kufadhili hata maisha ya watu flan flan hapa mjini.

Wanafahamika sana. Nenda Kinondoni kuna himaya za watu hawa. Nenda Mbezi, nenda kaangalie watoto wanaosoma chuo cha diplomasia wanavyoharibika kwa madawa haya.

Kama Makonda ameamua kupambana na madawa ya kulevya atoe namba yake ya simu apewe majina. Lakini hilo si issue sana anaweza enda omba kwa ndugu Kikwete, yeye anayo list ambayo alisema hadi viongozi wa dini wapo na watu wengine wengine aliosema ni wazito. Yaani walikuwa wanaogopwa kuliko serikali. Hayo majina sidhan kama Kikwete atamnyima.

Lakini ikiwa Kikwete hatotaka kumpa basi sisi vijana tunaweza msaidia akipewa hayo majina hatusemi aje atangaze. Hapana tunaomba afanye uchunguzi ili tusije nasi wengine tukawa tumewasingizia. Awakabidhi polisi kitengo husika, polisi waadilifu wachunguze na kuwakamata wahusika.

Wanafahamika wala si siri. Wengine bado ni wabunge na wengine wanajihusisha na music, usanii au ufadhili wa vyama vyetu.

Makonda tupatie namba yako ndugu, tukusaidie kukutajia wahusika wakuu ukiacha hawa uliowataka waje kukuona ofisini. Sisemi waachwe ila nashangaa kwa nini ulipendelea waje kukona wewe ofisini? Ili iweje? Si ungesema wakamatwe? Wapelekwe polisi? Na halafu mahakamani?

Watanzania tusimung'unye maneno. Tusipepese macho, tusing'ate kucha na kutizama chini.

Tuseme Makonda haya hapa majina ya wauza madawa ya kulevya ili Mungu alinusuru Taifa hili na madhambi yanayolizunguka.
Makonda ni mtu mdogo sana kupigana hii vita. Amina yupo wapi? Aliwataja wauza unga akamsahau mumewe adhabu yao wote tunajuwa. Dunian kote hii ni vita nzito na kama hamjuw tz ni pepo yao sasa huyu bwana makonda hata maziwa ya mama hayajaisha harufu mwilin mwake aweze? Huu utakuwa muujiza mbaya zaid ameanza vibaya. Hajafuwata logistic za kimafia what do we expect? Nduguzanguni hapa ndipo vijana tunaonekana hamna kitu.
Muda utatujuza ila end ya makonda sio nzuri why anacheza mpira mwanzo wa goli nakumaliza mwisho wa Goli what u expct
Uwenda ametoa siri ambayo hakupaswa toa na huo ndio mwisho wake.
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
6,477
Points
2,000

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
6,477 2,000
Miaka ya 80 mwishoni na 90 mkoa wa Mbeya kulikuwa na Jambazi mmoja maarufu sana alikuwa anafahamika kwa jina la Jombi. Alikuwa maarufu na tajiri. Yeye alikuwa na mtandao mkubwa sana na inasemekana Polisi wengi wakubwa walikuwa kwnye payroll yake kwa njia moja au nyingine pamoja na wanasiasa. Huyu bwana alikuwa akiiba magari TZ anaenda kuuza SA au Zambia na akiiba huko analeta TZ.

Pia alikuwa akifanya Ujambazi mwingine wa humu humu ndani kwa umakini mkubwa sana. Ilikuwa ikitokea anatakiwa akamatwe kuhojiwa anapigiwa simu aende kituoni au anaambiwa kesho kuna vijana wanakuja. So anajiandaa anavyojua. Siku mbili tatu mnamwona mtaani anadunda kama kawaida. Ni Mkapa alikuja kumkamata huyu mweshimiwa Jambazi.

Nimerudia habari hiyo kwa kufananisha na kile kinachoendelea hapa nchini. Kusema wauza madawa wa kulevya wakubwa hawafahamiki ni uongo mkubwa na utatupeleka motoni. Wanafahamika sana wengine ni watoto wa viongozi na viongoz wenyewe, wengine ni wabunge na makada wa vyama vyetu, wengine ni wafadhili wakubwa wa vyama na timu zetu, wafadhili wa wanamuziki, wasanii na wenye kufadhili hata maisha ya watu flan flan hapa mjini.

Wanafahamika sana. Nenda Kinondoni kuna himaya za watu hawa. Nenda Mbezi, nenda kaangalie watoto wanaosoma chuo cha diplomasia wanavyoharibika kwa madawa haya.

Kama Makonda ameamua kupambana na madawa ya kulevya atoe namba yake ya simu apewe majina. Lakini hilo si issue sana anaweza enda omba kwa ndugu Kikwete, yeye anayo list ambayo alisema hadi viongozi wa dini wapo na watu wengine wengine aliosema ni wazito. Yaani walikuwa wanaogopwa kuliko serikali. Hayo majina sidhan kama Kikwete atamnyima.

Lakini ikiwa Kikwete hatotaka kumpa basi sisi vijana tunaweza msaidia akipewa hayo majina hatusemi aje atangaze. Hapana tunaomba afanye uchunguzi ili tusije nasi wengine tukawa tumewasingizia. Awakabidhi polisi kitengo husika, polisi waadilifu wachunguze na kuwakamata wahusika.

Wanafahamika wala si siri. Wengine bado ni wabunge na wengine wanajihusisha na music, usanii au ufadhili wa vyama vyetu.

Makonda tupatie namba yako ndugu, tukusaidie kukutajia wahusika wakuu ukiacha hawa uliowataka waje kukuona ofisini. Sisemi waachwe ila nashangaa kwa nini ulipendelea waje kukona wewe ofisini? Ili iweje? Si ungesema wakamatwe? Wapelekwe polisi? Na halafu mahakamani?

Watanzania tusimung'unye maneno. Tusipepese macho, tusing'ate kucha na kutizama chini.

Tuseme Makonda haya hapa majina ya wauza madawa ya kulevya ili Mungu alinusuru Taifa hili na madhambi yanayolizunguka.
Makonda unania kweli ya kupambana na wauza unga wakubwa? If you're serious fanyia kazi ushauri huu,vinginevyo nyamaza milele,usitupigie kelele.
 
HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
1,698
Points
2,000

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
1,698 2,000
Miaka ya 80 mwishoni na 90 mkoa wa Mbeya kulikuwa na Jambazi mmoja maarufu sana alikuwa anafahamika kwa jina la Jombi. Alikuwa maarufu na tajiri. Yeye alikuwa na mtandao mkubwa sana na inasemekana Polisi wengi wakubwa walikuwa kwnye payroll yake kwa njia moja au nyingine pamoja na wanasiasa. Huyu bwana alikuwa akiiba magari TZ anaenda kuuza SA au Zambia na akiiba huko analeta TZ.

Pia alikuwa akifanya Ujambazi mwingine wa humu humu ndani kwa umakini mkubwa sana. Ilikuwa ikitokea anatakiwa akamatwe kuhojiwa anapigiwa simu aende kituoni au anaambiwa kesho kuna vijana wanakuja. So anajiandaa anavyojua. Siku mbili tatu mnamwona mtaani anadunda kama kawaida. Ni Mkapa alikuja kumkamata huyu mweshimiwa Jambazi.

Nimerudia habari hiyo kwa kufananisha na kile kinachoendelea hapa nchini. Kusema wauza madawa wa kulevya wakubwa hawafahamiki ni uongo mkubwa na utatupeleka motoni. Wanafahamika sana wengine ni watoto wa viongozi na viongoz wenyewe, wengine ni wabunge na makada wa vyama vyetu, wengine ni wafadhili wakubwa wa vyama na timu zetu, wafadhili wa wanamuziki, wasanii na wenye kufadhili hata maisha ya watu flan flan hapa mjini.

Wanafahamika sana. Nenda Kinondoni kuna himaya za watu hawa. Nenda Mbezi, nenda kaangalie watoto wanaosoma chuo cha diplomasia wanavyoharibika kwa madawa haya.

Kama Makonda ameamua kupambana na madawa ya kulevya atoe namba yake ya simu apewe majina. Lakini hilo si issue sana anaweza enda omba kwa ndugu Kikwete, yeye anayo list ambayo alisema hadi viongozi wa dini wapo na watu wengine wengine aliosema ni wazito. Yaani walikuwa wanaogopwa kuliko serikali. Hayo majina sidhan kama Kikwete atamnyima.

Lakini ikiwa Kikwete hatotaka kumpa basi sisi vijana tunaweza msaidia akipewa hayo majina hatusemi aje atangaze. Hapana tunaomba afanye uchunguzi ili tusije nasi wengine tukawa tumewasingizia. Awakabidhi polisi kitengo husika, polisi waadilifu wachunguze na kuwakamata wahusika.

Wanafahamika wala si siri. Wengine bado ni wabunge na wengine wanajihusisha na music, usanii au ufadhili wa vyama vyetu.

Makonda tupatie namba yako ndugu, tukusaidie kukutajia wahusika wakuu ukiacha hawa uliowataka waje kukuona ofisini. Sisemi waachwe ila nashangaa kwa nini ulipendelea waje kukona wewe ofisini? Ili iweje? Si ungesema wakamatwe? Wapelekwe polisi? Na halafu mahakamani?

Watanzania tusimung'unye maneno. Tusipepese macho, tusing'ate kucha na kutizama chini.

Tuseme Makonda haya hapa majina ya wauza madawa ya kulevya ili Mungu alinusuru Taifa hili na madhambi yanayolizunguka.
Hoja nzuri sana ila umeharibu hapo kwenye ushauri;pengine sijaelewa vizuri.Unazungumzia polisi wa nchi gani labda;wa hapa TZ au INTERPOL?
 
Forum statistics

Threads 1,378,980
Members 525,246
Posts 33,730,410
Top