Recent content by Tino100

  1. T

    Zitto Kabwe na Balozi wa China nchini Tanzania wakivuka mto

    Huyu balozi ni noma, anafanya kazi yake ipasavyo.
  2. T

    Hitler alikufa lakini Hitler wanaendelea kuzaliwa

    Ungebadili heading ukatia ndani hili neno DEMAGOGUE. Maana makala yako nzima imeegemea kwenye aina hiyo ya viongozi. Lengo kubwa la thread yako ni kuonesha MKULU wetu anaegemea kwenye aina hiyo ya viongozi. Lakini sijaona mahali popote kwenye thread yako ambapo umethibitisha kama wale/hao...
  3. T

    Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel

    Kweli ndugu tusubirie tuu, maana kuna muda meli zinatiaga nanga Airport.
  4. T

    Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel

    Endelea kusubiria meli airport. Na kama hiyo meli ikija. Haitamaliza safari yake salama na kama ikimaliza safari salama itakua safari ya kihistoria na kila mtu atamkubali.
  5. T

    Sabasaba, Tanu na mfumo wa vyama vingi

    SABASABA ilikua ni sherehe ya kuadhimisha kuzaliwa kwa TANU. Ambapo tanu ilizaliwa tarehe 7 Julai 1954. Na TANU ikaungana na ASP ikazaliwa CCM. Kwa mara ya kwanza sikukuu hii iliazimishwa mwaka 1963, Na mpaka leo hii bado sikukuu hiyo inaadhimishwa nchini, japokua ni kama imevalishwa koti la...
  6. T

    Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

    Umenikumbusha mbali sana ndugu. Enzi za kucheza Gololi na kidali. Ila radio mawingu wako vizuri kuangalia fursa. Wao ni kama nzi, wakiona kidonda tu wako radhi wafie hapo. Pia ni jambo jema wao ni wabunifu ila wawe na balance kwenye jasho la wengine.
  7. T

    Memories of WWII refugees live on in Tanzania

    Tanzania kuna mambo mengi sana hayajatangazwa na hakuna anaejali. Nimekaa Arusha miaka kama mitatu ila sijawah sikia jambo kama hili, Watanzania tuna mengi ya kujivunia na kuyaweka wazi mbele ya macho ya dunia na wananchi wetu wote. Ila tatizo ni Viongozi wetu wamekua wakifanya mambo kwa mazoea...
  8. T

    Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

    Experience matter, utapata wapi mbongo mwenye experience ya dams design and construction nchi hii bila kugusa wanataaluma ambao wanafanya kazi ndani na nje, hata kama wapo ni wachache sana na ni nani anawajua. Kazi zenyewe zinatokea mara moja kwa miaka 20 labda.
  9. T

    Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

    Naona mnakusanya machepeo juu ya KABURI. Dah, waliokua wapigaji matumbo moto.
  10. T

    Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

    Naona Prof MTALO akipata kazi. WR410
  11. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huu uzi nikiuangalia nacheka sana, jinsi unavokimbia napata picha ni watu wa aina gani wamejaa humu JF.
  12. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huu uzi niliudharau juzi, na ulianza kama mzaha iv ila kwa speed hii ni hatari. Mpaka kufikia wiki ijayo itakua inakimbizana na Makapuku kwa ukaribu sana. Salute kwa alieuanzisha japo kaanzisha kitu cha kijinga sana.
Back
Top Bottom