Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Niseme ukweli mimi si mwana CCM na sintokufa nikiwa CCM, mimi ni CHADEMA tangu mwaka 1999 na nitaendelea kuwa CHADEMA - Msemakweli
Safi sana naona umeamua kujitoa muhanga kwa ajili ya watz......Mungu atakulinda kwa sababu umesimamia hAki....na akujalie ubaki na moyo huo bila kutetereka......ila usifanye kwa ajili ya CDM...fanya kwa ajili ya wanyonge walioodhulumiwa.....watz
 
Safi sana naona umeamua kujitoa muhanga kwa ajili ya watz......Mungu atakulinda kwa sababu umesimamia hAki....na akujalie ubaki na moyo huo bila kutetereka......ila usifanye kwa ajili ya CDM...fanya kwa ajili ya wanyonge walioodhulumiwa.....watz

Kwa kweli amesema ukweli japo sioni akiungwa mkono maana Watu wanapenda siasa za kinafiki za zidumu fikra za Mwenyekiti, sumu ambayo imeambukiza hadi wapinzani. Tuamue kupambana bila kujali itikadi za kisiasa.
 
Dah Nimekumbuka sana single za Msemakweli,sijui single hii iliisha vipi???.....Now Mhe Kafulila na 200Bn on air...........Nadhani single hii nayo itapita kama upepo.....:sad::sad::sad:
 
Halafu invisible siku hizi mbona issues nyeti huleti tena??? Kainzi kalikufa au kapo hai??? Pamepyaya mkuu.
 
Ameitisha Press Conference, ana ushahidi...

msemakweli.jpg


kagoda_2011_edition_Page_01.jpg

kagoda_2011_edition_Page_02.jpg

kagoda_2011_edition_Page_03.jpg

kagoda_2011_edition_Page_04.jpg

kagoda_2011_edition_Page_05.jpg


Follow me...

See the attachment for the evidence presented

More attachments follow - Kagoda: Ni Rostam

i114_nyaraka.jpg


EPA00.jpg
EPA01.jpg


Wamiliki wa makampuni haya WANAFAHAMIKA! Tunaweza kuwataja hapahapa na hata mahala wanapoishi.

DAAAAAAAA!!!!!!!!!!
hawa jamaa wako wapi sasa?
 
Lakini mkuru wa kipindi kile aliigiliwa na roho mtakatifu akasamehe,wakarudisha mpunga bila kushitakiwa. Kabuli limezeeka sana makamanda tuliache tu
 
Leo hawa watu ni miungu ndani ya upinzani, ni wakombozi HAWAGUSIKI, WAZALENDO
 
Nimesoma juu nikaona majungu tu.
Wezi ni waliiba walokuwa BOT ? Bila wao hawa wahindi wangevunja bank na kuiba.
Mijizi mikubwa ni wale tulowapa dhamana kusimamia mali zetu.
Wao ndo wanatoa taarifa kwa watu wa nje kuwa benki zipo fedha tunaweza kufanya dili.
Manji hawezi kuota kama kuna fedha benki za kuchota.
Pia hii ripoti za kutunga na kufikirika na hisia.
Ati Afticarier ni kampuni ya mjomba wa rostam...huu ni ujinga na uwongo mkubwa.
Hawa mmoja ni mhindi ...wa lindi na mwengine ni bulushi wa tabora...
 
Back
Top Bottom