Pia hii link inaweza kusaidia kujua zaidi kuhusu fees za kulipa na kulipia wapi; Fees for Visa Services
Coming to the U.S. Permanently - Immigrant Services
(Filing an Immigrant Visa Petition (When collected by U.S. Embassies and Consulates for USCIS. Fees subject to change.)
Other immigrant...
Kama rafiki yako aliwahi kushiriki mwaka jana basi anaweza kutazama kama ameshinda kwa kutuma hii link hapa chini. Please check back at this link Electronic Diversity Visa on or after May 1, 2011 for Entrants who applied for DV-2012. Pia, hakuna hela yeyote inayolipwa sehemu zaidi ya sehemu...
Nimejitahidi ku-google habari zaidi kuhusu gharama za ku"publish" jarida au gazeti nchini mwetu lakini sikufanikiwa. Kama kuna yeyote anayejua kuhusiana na gharama hizi tafadhali naomba anijuze na ni wkampuni gani ndio zinafanya hizi kazi. Kikubwa ni kujua "standard" gharama za kwa document...
Kumbe watu wanaweza kufanya kazi double shifts wakibanwa siyo! Kumbe ni uvivu na umangimeza wa watu na makampuni yao katika maendeleo. Hivi Bandari ya Tanzania wanafanya kazi masaa 24 kweli au ndio saa 11 mwisho? mie utaratibu naoujua ni 11 mwisho, mombasa wanadunga mzigo masaa 24 kuna shifts 3...
Wewe ndio hujui ila walio na ufahamu wanajua kuwa kila kitu kinawezekana. hakuna kitu ambacho hakiwezekani. ndio maana watu wanafanya research, wanafanya midahalo ili kugundua na kufumbua solutions za matatizo mbali mbali haswa katika anga za sayansi. hivyo katika maisha hakuna kisichowezekana...
Mombasa wako faster kidogo sema tatizo ni TRA hapo border ya Namanga. Kwa hiyo maandalizi ni muhimu mapema ili ukienda kulichukuwa unapeta nalo moja kwa moja hadi Dar iwapodestination ya gari ni Dar. Pia bandari ya mombasa ni mara chache sana utalipia gharama za kulaza gari pale. Wale jamaa pale...
Inavyoonekana huyo anayelaumu watu wanakimbia nchi akawa si mwenye ufahamu ila ni msomi wa vitabu na darasani tofauti na kama anavyosema yeye. Ili uchumi wa nchu ujengeke vizuri ajifunze jinsi WaNigeria walivyowatoa wenzao katika medani ya soka na arudishe historia nyuma kwa nini wanafanya...
Kama unaangalia upande mmoja ni sawa ila kama unaangalia pande zote basi usiwadanganye wenzako. Kuna watu wengi sana nje ya nchi na ambao baadhi wanarudi kuja kuwekeza nchini. Kwa hiyo kuwa na scholarship na kuwa na visa zote ni category moja tu kwani unaweza ukaja na scholarship halafu what...
Nadhani wewe ndio utakuwa na matatizo haswa. Kwani mtu unapopewa nafasi kwa nini ukose kuitumia. isitoshe kama mtu una malengo yako utajua nini cha kufanya pindi ukishinda na kuja huku mbali na kusoma iwapo kama mtu atataka. Kuna kitu kinaitwa "exposure" na sijui kama unatambua umuhimu wa kuwa...
Vitu kama hivi pia Jamiiforums wangekuwa wanaweka kwenye home page ambapo mtu yeyote anayetembelea jamiiforums anaiona link ya masuala haya.
Ni vyema tukawa tunahabarisha wengine zaidi na zaidi maana watu wengi wanajua hii unalipia wakati ni bureeee. Gharama kwa sasa ni za picha yako tu...
Kwenye soko la foreign currency nadhani huwa linabadilika kama siyo kwa siku basi kila baada ya saa kadhaa. Sielewi iweje eti precision washindwe kuweka hii online eti kwa kusema nauli huwa zinabadilika. Ukiingia kwenye website ya Kenya Airways au Fly540 unaweza kupata fare hizo online ukienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.