Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by RAJ PATEL JR, Sep 22, 2010.

 1. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Registration for the 2010 Green Card Lottery!
  Read more below...
  Registration for the 2012 Green Card Lottery Begins October 5th!​
  The online registration for DV-2012 DV Lottery begins noon, Eastern Daylight Time (EDT), Tuesday, October 5, 2010, and ends noon, Eastern Standard Time (EST), Wednesday, November 3, 2010. All entries must be submitted electronically during the registration period, when applicants may access the Electronic DV Entry Form DS-5501 atwww.dvlottery.state.gov. Paper entries will not be accepted. Please Note: There have been instances of fraudulent websites posing as official U.S. Government sites. Some companies posing as the U.S. Government have sought money in order to "complete" lottery entry forms. There is no charge to download and complete the Electronic Diversity Visa Entry Form. The Department of State notifies successful Diversity Visa applicants by letter, and NOT by e-mail.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  DV Lottery 2012 Online Registration
  The online registration for DV-2012 DV Lottery begins noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT -4), Tuesday, October 5, 2010, and ends noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT -4), Wednesday, November 3, 2010. All entries must be submitted electronically during the registration period, when applicants may access the Electronic DV Entry Form DS-5501 at http://www.dvlottery.state.gov. Paper entries will not be accepted.
  Applicants are strongly encouraged not to wait until the last week of the registration period to enter. Heavy demand may result in website delays. No entries will be accepted after noon, EST, on November 3, 2010.
  Diversity Visa Lottery Instructions
  Review the DV-2012 Instructions below for detailed information.

  • The English version of the DV-2012 Lottery Instructions, updated 9/22/10, is available in PDF format for your convenience and required use.
  The English language version of the DV-2012 Lottery Instructions is the only official version. Some unofficial translations in additional languages will be published and will be added to this page as they become available. Check this webpage at a later time for additional available translations.
  Translations (All translations are in .pdf format)
  Armenian Indonesian Note: If you do not see instructions in your native language, please see the U.S. Embassy website to find out whether your country may have additional Diversity Visa information.
  Diversity Visa Program Information
  See the Diversity Visa Program webpage for information about:

  • Important fraud warning;
  • DV qualifying occupations;
  • DV 2011 Status Check - Entrants who previously completed online DV 2011 entry through the official website can check the status of their entry at http://www.dvlottery.state.gov
  • Results for DV-2011 and DV-2010 Lotteries: DV-2011 and DV-2010 lottery winners were already notified by mail and winners are provided further instructions. Those selected in the random drawing are NOT notified by email. Those individuals NOT selected will NOT receive any notification. See DV Lottery Results to learn more.
  Source: Diversity Visa (DV) Lottery Instructions
   
 3. TingTing

  TingTing Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vitu kama hivi pia Jamiiforums wangekuwa wanaweka kwenye home page ambapo mtu yeyote anayetembelea jamiiforums anaiona link ya masuala haya.

  Ni vyema tukawa tunahabarisha wengine zaidi na zaidi maana watu wengi wanajua hii unalipia wakati ni bureeee. Gharama kwa sasa ni za picha yako tu utakayopiga studio labda na ya muda wa internet ili kukamilisha hiyo fomu kama hauna net nyumbani.

  Issa na Othman Michuzi kule ndio wamegoma kabisa wanasubiri hadi muda uishe ndio waweke link kwenye mitandao yao. Tuwaelimishe wenzetu kwa moyo mkunjufu.
   
 4. C

  CCM OYEE Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyie wote mnaoshabikia hayo sio wazalendo. Mnataka kuhama nchi mkajenge uchumi wa nchi nyingine?
   
 5. TingTing

  TingTing Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe ndio utakuwa na matatizo haswa. Kwani mtu unapopewa nafasi kwa nini ukose kuitumia. isitoshe kama mtu una malengo yako utajua nini cha kufanya pindi ukishinda na kuja huku mbali na kusoma iwapo kama mtu atataka. Kuna kitu kinaitwa "exposure" na sijui kama unatambua umuhimu wa kuwa nayo. Mfano hai; hivi kuna watu wangapi raia wa Tanzania wanaosoma Uganda South Africa na Kenya? Na unajua wanalipa ada ya aina gani? Je, unajua kuwa kuna tofauti katika tuition fees kama ukipata residency permit na ukienda tu bila hiyo permit! Greencard is simply a permit. Kwa kuwa wewe hauna exposure haimainishi wengine wanyimwe habari hii maana hakuna tofauti ya ku-apply for greencard na ku-apply for scholarships. Nyingi ya scholarships kama si zote ni foreign, je, does it mean hatuna uzalendo ku-apply scholarships za wageni tunazoletewa nchini? It seems you have a negative attitude about certain things.
   
 6. C

  CCM OYEE Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Applying for scholarships and green cards are 2 different things, we can not put them together. Watu wanaopata scholarship wanaenda kusoma na wakimaliza wanatakiwa warudi kwao kwa mujibu wa VISA zao. Lakini ukipata green card haulazimishi kurudi kwenu kwenda kujenga nchi yako. Hakuna haliyekukataza kutuma maombi ya green card. Ila elewa uzalendo wa mtu mwenye scholarship na mwenye green card na tofauti. Mmoja anaenda kusoma na kurudi kutumia elimu yake kwa ajiri ya Tanzania na mwingine anatumia elimu yake kwa ajiri ya USA.

  Mimi nina scholarship na niko USA kwahiyo hiyo exposure unayozungumzia ninayo na ninajua tofauti yake. Mimi hapa nikimaliza masomo yangu natakiwa kurudi TZ, ila mwenye Green card sio hivyo.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wacha upumbavu wewe, huo uchumi wa kuujenga Tz ni upi?watz wapo milioni zaidi ya 30. Kama kujenga nchi jengeni nyie mnaoichagua CCM.ebo.
   
 8. TingTing

  TingTing Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama unaangalia upande mmoja ni sawa ila kama unaangalia pande zote basi usiwadanganye wenzako. Kuna watu wengi sana nje ya nchi na ambao baadhi wanarudi kuja kuwekeza nchini. Kwa hiyo kuwa na scholarship na kuwa na visa zote ni category moja tu kwani unaweza ukaja na scholarship halafu what happens if you happen to marry someone from that particular country? let us be realistic bwana. Kuna watu wanaenda kusoma nchi za nje na wanaoa huko ili wapate uhuru wa kuishi na kufanya kazi katika hizo nchi na pia kama akitaka kurudi nyumbani anarudi. Kwa hiyo iwe umekwenda nje kwa masomo au kwa msaada wa greencard, kurudi au kutokurudi nchini ni kwa mhusika mwenyewe na malengo yake. Unaweza ukawa na imani lakini wewe hauendi kanisani kwa hiyo usipende kuwaongelea watu. Wewe kama ulipata nafasi ya scholarship kusoma nje ya nchi (kama siyo on merit but based on technical know-who) basi si kuwanyima wenzako uhuru wa kuchagua. kujenga au kutojenga nchi yenu inategemea na mwamko nchini mwenu ukoje na kuangalia all risk-factors. Sidhani kama kuna mtu atataka kuwekeza kwenye nchi au biashara ambayo haina faida labda kama ni NGO ambazo zinategemea hela za wafadhili. Kama ingekuwa ni kubaki nadhani ungeonyesha mfano na kutafuta scholarship ya kusoma nchini mwako na si kwenda kwa watu. Ikiwa Botswana wanalipa vizuri madaktari na manesi kwa nini mtu asiende kufanya kazi huko! Na nani kakwambia kuwa mtu yeyote anaye-apply for greencard or scholarship si mzalendo nchini mwake? Kusoma nje kumeanza tangu enzi Hayati Mwalimu ni kiongozi enzi hizo na watu kwenda nje kumeanza zamani sana na wala si juzi. Leo hii watu walio nje wanatuma hela nyingi tu nchini. Labda hujaelewa maana ya globalization and its effects. Sina uhakika kama unaelewa uhusiano wa population ya nchi na purchasing power parity. Tena ni vizuri na kukaa kwako USA maana utakuwa umejifunza uhusiano huo na kwa nini USA mtu yeyote (haswa kwa raia wao) anaweza kuwa tajiri ghafla. Lack of exposure ndio adui wa biashara zetu Tanzania. Kuna watu wanajali career progression/growth zao na mtu anaweza fanya kazi Tanzania kwa muda akaenda kusoma kisha akarudi na kwenda kufanya kazi nchi nyingine yeyote hata kama ni Kenya, then labda kampuni ikamuamisha kumpeleka Europe then baadaye anarudishwa Tanzania labda kuwa Country Director au CEO wa hiyo branch yao ya nchini. Most people who are not exposed have their minds confined when it comes to decisions making. I personally feel and think any opportunity that comes should be utilized. Ndio maana wachina wako sehemu zote duniani sasa hujiulizi kwa nini? Je, inaamanisha si wazalendo kwa nchi yao au wanafuata ajira katika nchi zote duniani na kupeleka remittances nchini mwao? Kwa kufanya hivyo huoni kama pata lao la taifa linaongezeka? huo ni mfano tu. Hivyo usiwe na mawazo negative kuhusu scholarship, greencards etc. Kuna watu wanakuja kabisa kusoma lkn wanaishia kukimbia shule na kuingia mtaani si kama wajinga ni kuwa malengo yao hayakuwa shule bali wana mambo yao kichwani, na hakuna sehemu duniani inasema shule ni lazima. maendeleo maishani ni kujipanga kwa mtu iwe huko nchini kwao au nje ya nchi.
   
 9. TingTing

  TingTing Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Inavyoonekana huyo anayelaumu watu wanakimbia nchi akawa si mwenye ufahamu ila ni msomi wa vitabu na darasani tofauti na kama anavyosema yeye. Ili uchumi wa nchu ujengeke vizuri ajifunze jinsi WaNigeria walivyowatoa wenzao katika medani ya soka na arudishe historia nyuma kwa nini wanafanya hivyo. Ajiulize kwa nini Wachina wako kila mahali na kwani nini China wanakopesha nchi kibao tu hadi Marekani wenyewe wamekopshwa na China kujiokoa toka kwenye ile Financial Tsunami. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya population na purchasing power parity ya watu. Tanzania ni watu wangapi wana hiyo purchasing power parity? Kw ahiyo ndio uchumi tutaujenga kinamna hiyo au? Kwanza sheria za hatimiliki zinawaangusha wengi tu haswa kwa Afrika nzima. UK, USA et al sheria zao bwana ukiiga tu umekwisha hata mashuleni hauruhusiwi kutoa copy ya kitabu hata kama ni page bila idhini ya mwenye kitabu au agency inayoshikilia rights za kitabu. Sheria zinawaforce watu kununua bidhaa au huduma ndio maana kwa UK na USA sana sana USA hata mtoto mdogo anaweza ingia katika medani ya muziki kutoa albamu na kuwa tajiri. Katika watu 300+M hapa Marekani hata 1M wakinunua albamu yako tayari ushatoka. Tanzania ujenge huo uchumi kwa sheria zipi kwanza na kivipi! Mtu hajisifii experience bali hii inajionyesha na kujiongelea yenyewe. Huyu jamaa ni muongo tu na ni kati ya watu ambao hata wakipewa kuwa hata ma-supervisors katika kampuni wataiua tu kutokana na kuwa exposure kwao zero na haijawafunza chochote kwa kuwa akili zao bado zinaamini mambo fulani fulani. Asante sana Abdulhalim.
   
 10. C

  CCM OYEE Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sina matatizo na scholarship, tatizo langu ni malengo ya greencards. Umeandika mengi sana ila bado haujanishawishi kuwa kuomba greencard ni uzalendo. Mimi ni mzalendo na baada ya kumaliza masomo yangu nitarudi kwetu Tanzania kujenga nchi. Hao wote wenye malengo ya kukimbia nchi za watu na kuishi uko katika maisha yao yote si wazalendo. Undio maana scholarship zinatangazwa na serikali yetu pia lakini serikali yetu haitangazi greencard.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Uzalendo nilidhani CCM iliupiga marufuku? au? wewe bana wacha kuwafanya watu wajinga. Watu wa kwanza waliokosa uzalendo ni CCM kwa kuwaibia watz mchana kweupe na bado kuwaghilibu ili waendelee kuwaibia tena mpaka 2015 halafu wewe unakuja na ngonjera zako za greencard. Hivi unajua uzalendo ni nini kwanza? au unadhani uzalendo ni kuishi tz? kama ni kuishi tz wewe mbona unasema hupo huko? au kwa sababu wewe huwezi ku-apply unataka kuwazibia wengine?

  Wadau msimsikize huyu SENENE
   
 12. C

  CCM OYEE Member

  #12
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kashifa na matusi ya nene? Toa hoja zako bila kutukana au kukashifu watu.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Li wapi tusi au kashfa?
   
 14. G

  Guantanamo Bay Member

  #14
  Sep 28, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i would lie to ask,if i want to migrate us,thn in this visa application,which type of visa is applicable,as i find there are lots of visas available.so pls need your help.
   
Loading...