No Nonsense Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No Nonsense Magufuli

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Alpha, Sep 29, 2010.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I like this guys no nonsense attitude. One of the few people worth anything in CCM.

  `No extension of UVUVI House contract deadline`
  BY EDWIN AGOLA
  29th September 2010

  Minister for Livestock Development and Fisheries Dr John Magufuli
  Minister for Livestock Development and Fisheries Dr John Magufuli yesterday turned down a Chinese construction company’s plea for a one month extension of the handover of a public building.

  The no-nonsense minister who was unveiling the foundation of UVUVI House in Dar es Salaam directed that the contracted firm had no option but to respect the contract.
  Dr. Magufuli bluntly told the firm that all the terms in the agreement between the ministry and the Chinese firm were binding.
  “No excuses, the contract remains intact, come rain come sunshine. We want the building by November 30, 2010 as scheduled and not December as you want,” said Magufuli adding that the contractor had no mandate to extend the deadline.
  Tanzanian consultant Charles Barongo of Archqwant services Limited briefed the Minister that the handover would be delayed by one month because the contractor did not begin the work on time, claiming that the month of March fell on rainy season.
  But the Minister dismissed the claim as inconsequential due to the fact that by the time they were signing the pact, they must have taken into consideration the circumstances.
  “Does it mean construction doesn’t take place in places where there is rainfall throughout the year?” queried Magufuli.
  He said he would consult the Contractors Registration Board (CRB) to institute a penalty should the contractor fail to meet the deadline.
  Reacting to the Minister’s directive, consultant Barongo said he was optimistic that they would beat the deadline by doubling their efforts through employing two shifts and working day and night.
  The Chinese Company (Artic) won a tender to build the 3.5bn/- four-storey building that will have 80 offices and 50 parking slots.
  The fund is part of a World Bank loan extended to Tanzania to implement Marine and Coastal Environmental Management Project (MACEMP) undertaken by 16 local Government Authorities (LGAs)
  Meanwhile, Minister Magufuli said the war on illegal fishing was a continuing campaign that called for concerted efforts from Tanzanians of goodwill irrespective of party affiliation.
  He said it was disheartening that while the fishery sub sector was registering encouraging contribution to the Gross Domestic Product (GDP) people were resorting to politicking over illegal fishing.
  “It is a pity for a political party leader to claim that he would encourage illegal fishing once he assumes power,” he said without naming the political party.
  According to Magufuli, dynamite fishing remained one of the myriad challenges facing the growth and prosperity of marine and coastal fishing industry in Tanzania.
  SOURCE: THE GUARDIAN
  0 Comments | Be the first to comment


  :: IPPMEDIA
   
 2. TingTing

  TingTing Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe watu wanaweza kufanya kazi double shifts wakibanwa siyo! Kumbe ni uvivu na umangimeza wa watu na makampuni yao katika maendeleo. Hivi Bandari ya Tanzania wanafanya kazi masaa 24 kweli au ndio saa 11 mwisho? mie utaratibu naoujua ni 11 mwisho, mombasa wanadunga mzigo masaa 24 kuna shifts 3; yaani kama vile call centers a.k.a customer care za makampuni kama ya simu n.k.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Saafi sana magufuli, mimi nitakuchagua wewe ubunge na dr slaa kama rais wetu sijui kama nitakuwa nimechanganya hapo
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  It is too little too late to catch the plane that has departed some ten minutes agoooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. A

  Alpha JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Time is money but it seems this concept does not seem to have reached our leaders.

  You can't help but think if this guy was in charge the Kigamboni Bridge and DART bus system might have been completed by now saving the country millions. This is the kind of guy that might actually get things done instead of just blah blah.
   
 6. A

  Alpha JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I agree. CCM has had 50 years to get things done and they have failed miserably. We cannot give them another 5 years. i wish Magufuli would move to CHADEMA.
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Pamoja na kumkubali Dr. Magufuli.............kama yaliyoandikwa hapo juu ni sahihi basi Magufuli kachemka!!

  Wakati ule alipokuwa Ujenzi kulikuwa na "kichwa" i.e Marehemu Mujungi alikuwa ni mshauri wake wa karibu.............inakuwaje utoe tamko halafu useme utaomba ushauri kutoka CRB.............eti ku-insitute a penalty!!...............kawaida kwenye contracts kama hizi kunakuwepo na Clause/s ya/za penalty/ies na utaitumia kulingana na Condition zilizomo and not otherwise............kama mkandarasi akichelewa kumaliza kazi kuna penalties zake..............extension of time kwenye contract yeyote ya ujenzi mazingira yake yameongelewa..............kwenye contract zingine hata muda wa kufanya kazi unakuwa spelled out...............

  My worry kufanya kazi za shift ni QUALITY of end product................tayari binafsi nime-experience matatizo meengi sana na Wachina with their sub-standard works.......ukiunganisha na poor supervision (Hongo/Rushwa).............sijui tunataka nini mwishowe..............

  In short Dr. Magufuli kachemka...............alichemka kule Mwanza na bado hajajifunza................umwamba wakati mwingine HAUFAI.......
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu naheshimu sana mawazo yako, lakini magufuli alikuwa anajaribu kuwaonyesha kuwa wapo siriazi,sasa kuchemka kunakujaje?
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni no nonsense au kutafuta popularity?
   
 10. e

  ejogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Afuate mkataba, akijifanya kwenda nje ya mkata itakula kwake (kwa serikali). Extension of time huwa inakuwa stipulated ktk mikataba. wacheki hizo clauses zinasemaje, kama zinaendana na hizo sababu alizotoa mkandarasi, basi ubabe hapo hautakiwi, itakula kwake.
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ....It is wrong ku-impose a WILL when you have a Contract...................Ukitaka kuonyesha kuwa uko serious......unatakiwa kufuata mkataba unasemaje PERIOD..........amechemka kama ifuatavyo

  1. kama yaliyoandikwa yamenukuliwa kwa usahihi..................ina maana amekataa extension of time na kulazimisha wachina wamalize kazi katika muda uliopangwa............technically nita-assume anasema, ata-impose penalty kama wachina hawatamaliza kazi yao katika muda wa mkataba............however, Project Manager (the architect, supposedly acted impartially) anamwambia Dr. Magufuli kulikuwa na delays kutokana hali ambayo haikuweza kuzuilika............hivi vitu huwa defined kwenye mkataba na mkandarasi ana haki ya kuongezewa muda depending na determination/evaluation ya Project Manager
  .....yeye Dr. Magufuli anasema wafanye kazi kwa shift.............hapo napo kuna technicalities zake......inabidi uwe muangalifu....usije ukawa una-ipose kipengele cha "acceleration of works" ambavyo vinaweza kumrudi...........

  2. Dr. kaamua kulazimisha mkandarasi halafu anasema ataomba ushauri kutoka CRB............alitakiwa aombe ushauri wa kimkataba kwanza ndio......... atoe maagizo......otherwise huko ni kuchemka.....inaonyesha hajui mkataba unasema nini..............

  3. Hizi kazi za ujenzi zina muda depending na type of activity and specifications bounded to it............hutakiwi kuforce tu mambo eti kwa kuwa wewe ni No Nonsense person........huko ni kuchemka

  Haya ni baadhi ya mapungufu ya ndugu/rafiki yangu mchapakazi Dr. Magufuli...............kuna hatua kadhaa alichukua huko nyuma zimei-cost serikali..........lakini ndio hivyo tena wakati mwingine tunakubali kirahisi kuwa kipenda roho..........halafu tunakubali kula nyama mbichi.........
   
 12. B

  Bunsen Burner Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hivi jamani hizo Contract huko bongo CRB wanaingiaje tena kwenye Condition of Contracts za projects, manake mambo ya mvua na vitu vinavyo affect project huwa viko stipulated clearly, i.e hata formula za kudetermine kiasi cha rainfalls na siku za kuwaentitled for extension of time zipo na hakuna kuingiza politics kwenye mambo haya, ama sivyo itakula kwa serikali!!! Extension of time is a contractual matter na mwanasiasa au CRB mie nafikiri hawahusiki hapo kama sababu zipo ni valid zinazotolewa na contractor na zinaendana na what the contract stipulates!
   
 13. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni kutafuta cheap popularity
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbukeni nae ni Engineer na hii si kazi ya kwanza kuisimamia
   
 15. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kile kipande cha barabara kati ya Manyoni na Singida kimeisha au bado,kama bado tumuombe Magufuli atusaidie kuwabana wajenzi kwani watu wa Wizara ya Miundo Mbinu bado wako kwenye usingizi wa pono
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  hajui project management huyu. mbona risks ni kitu cha kawaida tu kwenye project? Extension of time without cost to the employer has no effect whatsoever. Aende tena skuli
   
 17. O

  Ogah JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Huyu bwana Magufuli SIO ENGINEER
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Na ile kesi ya barabara ya Dodoma Manyoni iliisha?................kama alivyosema Mkuu mmoja hapo juu swala la Project Management watu wanalichukulia mzaha mzaha....................watu wavivu kusoma mikataba na kuielewa........halafu experience hawana...........halafu wanataka kufanya maamuzi ya kibabe...........Mrema wa TANROADS naye kaingizia HASARA kubwa serikali kwa ujinga ujinga kama anaoufanya Dr. Magufuli..............damn
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hivi ni porject % zinakamilika within time. nadhani ni below 30 %.

  Binafsi Kwa mwezi project kama hiyo sioni kama kuna tatizo kubw sana. Lakini nasema hivi sababu mimi siko upande wa mteja wala wa kandarasi.

  Lakini kisiasa na kimajukumu alichosema magufuli ni sahihi kabisa .Kama mteja huwezi tu kumkubalia mkandarasi ata angesema itachelewa wiki moja bado mkandarasi alitakiwa kufanya consideation ya risk variables zote. Na vipi kama among the factor zilizofanya washinde tender ni muda waliopropose kukamilisha project?

  Tena kuna mikataba mingine ina kipengele kwa kila siku mradi utakaochelewa kukabidhiwa kiasi fulani che fedha kinakatwa katika malipo ya mkandarasi. Lakini kuwa na kipngele hiki ubaya wake kunafanya hata ghaama ya mkataba kuwa mkubwa zaidi.

  Magufuli is right na hata hao wajenzi wana haki ya kupewa nyongeza ya mwezi.

  Hivi Tanzania kuna taasisi inayoshughulika na mambo ya arbitration za mikataba.??
   
Loading...