Mfumo wa ujenzi wa Gharama nafuu Dar

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,240
5,438
Ndugu wapendwa, Je nikweli kunamfumo wa kutumia udongo wa mfinyanzi kwa kuchanganya na cement kidogo ukapata tofari zitakazo saidia kujenga nyumba kwa Gharama nafuu? Ukitembelea web site Brick and Block Machine Manufacturers | Hydraform wanasema interlocking bircks zinapunguza ghrama za ujenzi, je kunaukweli? nipeni taarifa
 
Ni kweli tofali hizo zimeonekana kufanya vizuri,kwani mimi mwenyewe nimeshaona baadhi ya majengo tena ni imara beyond tofali za cement.Kinachofanya t ofali hizi zisijulikane kwqa walio wengi ni teknolojia yake ambayo haijazoeleka.HAPA shy kanisa la roman huzalisha tofali hizo
 
Waziri, Asante kwa kunipa maelezo. Je ni kweli technlogia hiyo inaweza kupunguza gharama ya Ujenzi by 50%.Je Kuna mwanajamii anjua kampuni ya Benja iliyoko DDSM inayojenga nyumba kwa kutumia hii technologia hii ili anipe contacts zao
 
Ni kweli tofali hizo zimeonekana kufanya vizuri,kwani mimi mwenyewe nimeshaona baadhi ya majengo tena ni imara beyond tofali za cement.Kinachofanya t ofali hizi zisijulikane kwqa walio wengi ni teknolojia yake ambayo haijazoeleka.HAPA shy kanisa la roman huzalisha tofali hizo

Tafadhali tupeane basi hata mawasiliano ya hili kanisa au sehemu ambazo zinatengeneza haya mawe. Asante
 
kanisa la roma maeneo ya ngokolo, we ukiuliza tu mradi wa matofali wa askofu balima. vilevile kwa shy mi naona haya matofali yanatumiwa sana na wa2 wenye kipato cha juu na si watu wa hali ya chini. na wasiwasi yatakuwa na gharama za juu, anyway jumatatu coz niko hapa shy ntaulizia details zake kisha ntazibandika hapa jf.
 
Dedii, Vipi umefanikiwa taarifa yeyote hapo shy juu ya ujenzi wa tofari nafuu?
 
Wataalamu wa ujenzi. Tupeni taarifa zaidi juu ya hoja hii ya ujenzi wa bei nafuu.
 
Mkuu labda hoja hii uiweke kule kwenye hoja mchanganyiko ili watu waione kwa urahisi.
Nami pia ningependa kupata habari zaidi kuhusu huu mfumo wa utengenezaji wa tofali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom