Recent content by Tinde nsalala

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego kafanya aliyoyafanya ameachiwa, sasa anaona Dar es Salaam ndogo analia mwenyewe

    Play boy mwema!Nakuona na kijichoyo,hahahaha!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Laani ww!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kama mdogo wangu Nape naye angelimia meno, wengi mjiandae

    Acha uongo!Mhukulu ipi inayompongeza huyo mtu?Kuanzia Likuyu fusi hadi huko unapopasema ww %80 watu wamejawa na hofu na kukata tamaa!Afadhali hata ya Jenister Mhagama.Anaonyesha uwezo binafsi wa kiuwakilishi na si huyo..... wako.
  4. T

    JamiiForums Tanzania They know everything

    Kauli ya bwana mkubwa fulani alipokuwa anahutubia siku fulani ktk warsha fulani. Alimaanisha wana kijiji,eti( kwa tafsiri isiyo rasmi)wanelewa kila kitu.Pengine alimaanisha wanatambua maendeleo ambayo awamu hii inayaleta kwao. Niandikapo mada hii nipo huku kijijini kwetu, PUNI mkoa wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Wamemdaka! Ndiyo,ni huko Morogoro. Msanii Ney wa mitego amekamatwa na Jeshi la polisi.Chanzo cha kukamatwa kwake hakijawekwa wazi hadi sasa. Lkn wabashili wa mambo wanahusisha kukamatwa kwake na wimbo alioutoa hivi karibu ugusao moja kwa moja na mambo ya siasa. Picha linaendelea.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tuache uwongo Genocide ya Rwanda haikusababishwa na Media bali ni Utawala wa Kibabe na wa Kikabila.

    Tambua pia,siyo kila mzungu ni PADRI!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tuache uwongo Genocide ya Rwanda haikusababishwa na Media bali ni Utawala wa Kibabe na wa Kikabila.

    Hao unaowaita WABOBEZI,wapo ulaya huko.Mm nipo Rwamagana,Rwanda.Jawabu unalo....
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tuache uwongo Genocide ya Rwanda haikusababishwa na Media bali ni Utawala wa Kibabe na wa Kikabila.

    Hiyo ni story ya kutungwa na uhalisia si huo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tuache uwongo Genocide ya Rwanda haikusababishwa na Media bali ni Utawala wa Kibabe na wa Kikabila.

    Ndg zangu,UONGO ukisemwa na kuachwa bila kukanushwa hugeuka kuwa kweli. Hivi karibuni,wapo baadhi ya viongozi wanaohubili na kuaminisha watu eti mauaji ya KIMBALI huko Rwanda,yalisababishwa na waandishi wa habari jambo ambalo si kweli!Mauji hayo yalisababishwa na wafanya-SIASA WALIOLEWA NA...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Nape keep CCM under pressure

    Siyo wasukuma wote ni wajinga.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Brother,naikumbuka jumapili ya tarehe 6,Novemba 2014,uliniambia "MDA WA KUJITOA SADAKA KWA AJILI YA CHAMA,NI HUU.HAITAJALISHA NI LOWASA AU MWINGINE,LAZIMA CHAMA KIMUUNGE MKONO".Aliendelea kusema.." UJUE WATU WANAFIKIRI MM SIMPENDI EDWARD,SI KWELI!WANASAHAU EDWARD NI MWANA CCM MWENZANGU NA HATA...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ruge amjibu Magufuli: Hatujakupangia umtumbue Makonda, ila anatakiwa aombe radhi

    Leo wamekuwa wanafiki?!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Siku si nyingi tutaungwa mkono na wanaccm kutokea ndani ya chama chao

    Umemuelewa wewe.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndio naikumbuka kauli ya Lowassa alopata kuninong'oneza katika Uwanja wa Majimaji huko Songea

    Namnukuu; "Dogo,ktk kufanya siasa,usiwe mfanya siasa MTAKA SIFA!Bali SIFA NDIYO IKUTAKE ww.SIFA ya siasa ikikutaka ww hata wafanye nini kamwe hawawezi kukufuta ktk kufanya siasa. Hata wangetumia bulldozer kukufukia lkn madongo yale yatatawanywa na wengine ili tu ww uokoke kutokea kifusi kile."...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya wabunge wa JMT na contacts zao.

    Ipo siku litafanikiwa.
Back
Top Bottom