Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,939
- 244,527
Kwa hali ya mambo ilivyo ndani ya ccm , ni wazi kabisa kwamba wanachama wake wengi hawaridhishi na wanaburuzwa kama mzoga wa mnyama aliyefia katikati ya mji .
Siku zote binadamu hawezi kutendewa ubaya na akakaa tu kama zuzu , ni lazima uvumilivu utamshinda tu , zipo taarifa kwamba mbinu ya sasa si kuhama , bali ni kuhakikisha kwamba fito zinagombaniwa ndani kwa ndani , kwamba wasioridhika na yanayotendwa watatuunga mkono wakiwa humohumo .
Tulishasema tangu mapema , KUMPA UENYEKITI MTU AMBAYE HAKUWAHI HATA KUWA MJUMBE WA NYUMBA 10 ACHILIA MBALI KATIBU KATA , ni matatizo makubwa sana .
Sijawahi kuona kiongozi anayempuuza kila mtu akafanikiwa , huyu atakuwa wa kwanza
.
Mabadiliko namba 9 yaliyofanywa juzi Dodoma ndio kitanzi chenyewe .
Ni suala la muda tu .