Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Tambua pia,siyo kila mzungu ni PADRI!Hii sio hadithi" story" bali ni ripoti ilioandikwa na wabobezi wa TASNIA HIYO YA HABARI! na kuwasilishwa kwenye Tume ya Haki za binadamu katika kitengo kinachohusika na ufumbuzi wa migogoro.