Mi nafikiri kuwa Kwa kweli tunaitaji ufahamu zaidi pale linapotokea jambo la kijamii i mean linaloigusa jamii ktk maradhi,chakula,education,transportation,mawasiliano,na mengineyo ambayo hawa viongozi wetu ndio haswaa tumewachagua ili kwa namna moja ama nyingine pale mambo yasipoenda sawa wao...