- Je Chadema walimpeleka Vincent huko kwa sababu maalum knowing Mkapa will be there? Na kwa nini neno la kwanza la Mkapa liwe Vincent sio Familia ya Mwalimu? Alikuwa anajihami na nini kwamba msimsikilize huyo sio familia ya Mwalimu? I mean something is not very clear hapo!
- I mean this is the lowest National debate ever kwa sababu so far there is nothing kwa wananchi wa Arumeru na this debate, lakini watu wazima wenye akili timamu ni lazima kukuna vichwa hapa what is behind all this drama in Arumeru?
Es!