engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
kama lipo tatizo basi ni vyema litatuliwe kuliko kuanza kubishana ktk mitandao ya kijamii.
siasa za kufukuzana zimepitwa na wakati,sanasana zinaleta makundi ktk chama husika,ni vyema wale wanaotofautiana ktk hili ama lile ndani ya chama basi tumieni vikao vyenu vya ndani kutatua matatizo yetu
nikushukuru Mr Nanyaro kwa kuweka wazi kuwa hakuna mgogoro hapo Arusha na hata kama upo basi si vyema kuweka mambo hadharani ni swala la wewe na viongozi wandamizi wa CDM kupitia katiba yenu kutatua mgogoro huo kupitia vikao vyenu,hivyo ndivyo siasa ilivyo.
tugombane kwa hoja na wala si kwa matusi,kwa pamoja tutaijenga Tanzania yetu