KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Ivi ile miezi 6 ya Mangula inaisha lini?
Nape nadhani atahamia CDM punde lowassa akitawazwa kuanza kampeni!!
Upo msemo wa wahenga uanao sema " Jeshi lililogawanyika haliwezi kumshinda adui"
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakubaliana nawe
Mgawanyiko bado, mgawanyiko utaonekana dhahiri kwenye bunge la bajeti la mwaka 2015. Mambo bado, na kutakuwa na kambi tatu tu. Na nawakumbusha tu kuwa hela zitamwagwa sana mwaka 2015, mfumuko wa bei utaongezeka, na wachache wataneemeka, lakini kumbukeni wahenga walisema, wapambanapo mafahali wawili, ziumiazo ni nyika
Kwani lowassa cyo mwana ccm? Hofu mnayo nyie cdm na cyo ccm.
Nape nadhani atahamia CDM punde lowassa akitawazwa kuanza kampeni!!
Waache washughlikiane, labada watafika 2015 choka mbaya.Mimi si mwana ccm, nionavyo ni kuwa angalau MEMBE anaheshima kidogo mbele ya jamii ya watanzania ukilinganisha na LOWASA miongoni mwa wana ccm wanaotajwa tajwa kuwa na nia ya kutaka kupanga magogoni. Mshambulizi dhidi ya lowaza ikiwa ataomba na kupewa ridhaa na wanachama wa ccm kuiwakilisha ccm kwenye mbio za kwenda mtaa wa luthuli aka magogoni yatakuwa mazito na ya silaha za maangamizi yatakayosababisha chama kupoteana na wanachama wake.
Lowasa atashindwa kwa aibu kubwa afadhali atakavyoshindwa membe.
chezea watanzania weye!
LUGHA HII WATAIELEWA WENYE MASIKIO
Lowasa ni kama kauli hii Chenga twawala ila Magoli Nill. Mfungaji hapo 2015 ni CHADEMA.
Kwani lowassa cyo mwana ccm? Hofu mnayo nyie cdm na cyo ccm.
......AKA unplayable!!