Nitapambana na Lyatonga 2015

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Kama ni kosa walifanya watu Vunjo ni kuchagua Lyatonga Mrema aka mzee wa kiraracha. Mzee huyu ni balaa tupu hamna cha maana anachofanya bungeni zaidi ya kubwabwaja tuu akijifanya mpinzani kumbe hamna kitu. Namwambia akae mkao wa kutoka na watu wa vunjo tusirudie kosa tena huyu ni kibaraka wa CCM.
 
mkuu tumeshaanza kujiandaa kuchukua hili jimbo
 
Wakuu huku Iramba mashariki moto niliouwasha hauzimiki milele! 2015 mtaniona nimejaa mjengoni tele nikiwa na hoja za wanyonge. Kila mtu kwa nafasi yake awe catalyst ktk kufanikisha ukombozi wa kweli.
 
Akili yangu hapa inanikumbusha kule Vunjo tayari atasimama J.Mrema,aliyesimama dhidi ya Lyatonga Mrema mwaka 2012 ama yeye amejitoa tayari?
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.
 
huyu ndio Mrema mwenyewe

270366_2034382311945_1615806745_1967168_2890452_n.jpg
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.

Huo Mwaka hata wajukuu zako hawatakuwapo pamoja na wewe
 
Mrema kama uhai ungalipo, akifika 2915 atakua hoi sana, naamini hataweza kugombea tena, kama mkakati wako nikupambana na Mrema, amini nakwambia unacheza karaka ya kufungwa mwishoni.
Aisee parefu hapo, 2915 - 2011 = 903, ingekuwa zamani miaka ya kwenye biblia basi tungefika, lakini miaka 903, dah! kweli atakuwa hoi, mimi na wewe pia tutakuwa hoi!!
 
Back
Top Bottom