Recent content by Time Traveller

  1. Time Traveller

    Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
  2. Time Traveller

    SoC01 Jifunze haya mtandaoni uweze kujiajiri na kuajiri

    Usisahau kubonyeza kitufe cha vote hapo chini
  3. Time Traveller

    Series gani ya comedy ni best of all time?

    Hapo kweny number 1 uko sawa.....namba 2 everybody hates chris...
  4. Time Traveller

    Kutumia PC kama screen toka kwenye Simu android (Mirror Cast/Miracast)

    Chief nina swali.....naweza kurun application ya adobe illustrator kwa cpu yenye processor ya intel celeron?
  5. Time Traveller

    Kwanini Wahindi wengi huwa na roho mbaya?

    Kuna kademu ka kihindi nataka nikaweke na nahisi ni mwali kabisa yule...
  6. Time Traveller

    Mambo usiyoyajua kuhusu maombi ya 'Passport'

    Inachukua wiki tatu hadi mwezi na wiki kadhaa kuendana na idadi ya maombi ya wakati huo....hakikisha umeorodhesha kila kitu wanachohitaji ha hata ukiwa na vya ziada inasaidia kama vyeti vya shule n.k
  7. Time Traveller

    Wazamiaji wa miaka ya 90

    https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://m.youtube.com/watch%3Fv%3DyZqdUBpHmhM&ved=2ahUKEwjEvpW-vMLwAhX1URUIHTHoBQ4QwqsBegQIDRAB&usg=AOvVaw0eeP7BHtQF0nQiaxa2tHqW Kuna hii documentary inaonesha raia qehnhbî26
  8. Time Traveller

    Iache nyumba yako ipumue

    Peleka ujinga wako facebook shubaamit...
  9. Time Traveller

    Roho inauma, nimetimuliwa nyumbani kwa fedheha

    Itumie hiyo kama chachu ya kuhangaika na kutafuta.....kama una kamtaji ingia karume asubuhi na mapema kadake viatu vya 3000...zungusha jioni uuze kuanzia elfu 5 hadi 7 usitake faida kubwa kwa kila kiatu we weka malengo ya kuuza pair kadhaa kwa siku....
  10. Time Traveller

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii kitu imenikuta leo najuta.....simjui hyo mwanamke na wala simkumbuki kwa sura....natumia PEP saa hii kujikinga na maambukizi... damn...
  11. Time Traveller

    Ni lini Serikali itajenga Chuo Kikuu mkoa wa Mwanza?

    Subiri atajenga CHATO utafurahia tu msukuma mwenzie.
  12. Time Traveller

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Nilikuwa naangalia podcast ya joe rogan akawa anazungumzia jinsi wamarekani wanatumia madawa yanaitwa (DMT) ambayo yanawapa uwezo wa kuona na kuwasiliana na Aliens or UFOS....kitu kama hicho......pia hizo drugs nahisi zinatokana na marijuana.....vitu kama time travelling vinawezekana kwa...
  13. Time Traveller

    Hivi kwanini UDART haikujenga Monorail?

    Hilo wazo lako linaweza tekelezeka Bagamoyo road.....
  14. Time Traveller

    Naombeni wazo niweke content gani katika YouTube yangu?

    Namuoa mfano wa youtubers maarufu wanaopiga hela....wengi wanafanya hivi 1. Review za vitu mbali mbali kama bidhaa, huduma n.k 2. Wengi wanasafiri kila kona ya nchi au dunia na kuonesha vitu vinavyoshangaza.. 3. Kuna wanaoonesha vyakula mbalimbali vya maeneo tofauti na maandalizi yake 4. Prank...
Back
Top Bottom