Hivi kwanini UDART haikujenga Monorail?

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
552
1,000
Napata taarifa kwamba BRT phase 1 ilitumia zaidi ya dola milioni 160, sasa kwanini UDART wasingetengeneza monorail tu kutoka Mbezi mpaka Kariakoo ambayo gharama yake ni ndogo zaidi? Hela ambayo ingebaki ingetumika kuongezea umeme utakaotumika kwenye monorail.

Budget ya Hitachi Monorail, reference Daegu Monorail LINE3 South Korea
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,033
2,000
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,405
2,000
Monorail siyo rahisi kujenga kama unavyofikiri, kujenga infrastructure mbali na ardhi ni gharama sana kuliko kwenye ground level
 
Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
3,847
2,000
Ngoja kwanza tumalize brt njia zote,wazo lako tutalifanyia kazi baa da ya awamu kama 5 mbeleni.......Ccm itatekeleza
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
8,405
2,000
gharama ya BRT ni kubwa zaidi kutokana figures
Una interconnect vipi na mifumo mingine ya usafiri?barabara za kawaida, mfano phase one imeenda kariakoo, kivukoni na morroco na hiyo inapita kwene single rail huoni kama kutakuwa na changamoto?hiyo inaitaji one way kwa upeo wangu

Kila kituo uweke vituo vya ghorofa
 
Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
552
1,000
Una interconnect vipi na mifumo mingine ya usafiri?barabara za kawaida, mfano phase one imeenda kariakoo, kivukoni na morroco na hiyo inapita kwene single rail huoni kama kutakuwa na changamoto?hiyo inaitaji one way kwa upeo wangu

Kila kituo uweke vituo vya ghorofa
Nimeona ya Daegu south korea, ni km 23+, wametumia dola milion 400, kuna vituo 30, sisi hapo phase ni chini ya km 15 kama tutanyooka kutoka stendi ya mbezi
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,936
2,000
Napata taarifa kwamba BRT phase 1 ilitumia zaidi ya dola milioni 160, sasa kwanini UDART wasingetengeneza monorail tu kutoka Mbezi mpaka Kariakoo ambayo gharama yake ni ndogo zaidi? Hela ambayo ingebaki ingetumika kuongezea umeme utakaotumika kwenye monorail.

Budget ya Hitachi Monorail, reference Daegu Monorail LINE3 South Korea

Jangwani pangekuwa hivi

1612508062222.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom