Recent content by TIKITA

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuolewa na Doctor

    yaani hujakosea kitu, hawajui kutunza wake zao, hawasocialize, walevi, yaani pyuuuuuu
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina gani umesave la mpenzi/wapenzi wako katika simu yako?

    mi wangu majanga niligundua amenisave jina la binti yetu nilichoka mpaka leo kaacha hilo hilo bado najiuliza anamaanisha nini nisaidieni namna ya kutatua issue hii. Ni mke wake wa ndoa kabsaaa tena tuna huu mwaka wa 15
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love your wife and honor your family'

    YES you can
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake...!

    WOMEN= Well Organized Men naona fahari kuwa mwanamke well said MTAMBUZI.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta House Girl, nafasi 2.

    mimi nilikuwa namlipa 150,000/- lakini bado alikuwa mwizi na hapendi watoto.............
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tabia za Kitanzania zinazonikera...

    wanaochokonoa pua haswa kwenye dala dala kisha wanapikicha uchafu wanatoa kwenye pua wala hawajali uchafu huo kama unakurukia... wanaotema mate hovyo ukitaka kuona pita asubuhi mitaa yote ya posta, kariakoo (Dar) yaani ni makohozi matupu sijui kama TB zitakwisha. Wanaopenda kudandia stori ama...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nilipigwa na kuvutwa korodani zangu na Mapolisi

    Pole sana, kuhusu hilo la polisi nadhani wataalam wa sheria watakusaidia kupata haki yako. Ila hilo la maji na mamlaka ya maji nakushauri peleka malalamiko yako EWURA wana utaratibu wa kushughulikia malalamiko ya huduma hizo unaweza kupata haki yako kwa upande huo ikiwemo kuchukuliwa hatua kwa...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sala kabla ya tendo la ndoa...

    OMG Taz umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaa "Bwana tupe nguvu ya kutovuta picha za wake za watu wakati umebariki kua na wake zetu wa ndoa"
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RELATIONSHIP Killers

    Ndugu.............................
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania my life is meaningless

    gugu pole sana, natamani kuongea na wewe just call me 0719 712050 kuanzia saa 12 jioni. Mi ni mama nimepitia zaidi ya hayo and I am okay now.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je ni halali kwa katibu mkuu utumishi kuwachomeka watoto wake TPA & PSPF

    wewe ulitaka wakishasoma awaweke nyumbani? chuki binafsi, kama hawana vigezo na hawakufuata taratibu hapo kuna walakini lakini kama utaratibu ulifuatwa sioni tatizo.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kwanza ya Mashoga Afrika Yafungwa Afrika Kusini

    Mfumo dume, madhara yake
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta caterer

    piga 0716 317715 huyu atakupikia hi home home next time utamtafuta tu aisee, ila inabidi utafute mavyombo ya kupakulia maana yeye ni mpishi tu uwe na mavyombo yako ya kupikia kama vile sufuria n.k ila utamtafuta tena narudia kwa msisitizo hutajuta.........
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    itafika mahali tutashindwa hata kuzikana tusipoangali maana msiba wa dini mbili hizi unataratibu tofauti... Mungu tunusuru. Mwanzo mzuri kamanda Lema
  15. T

    JamiiForums Tanzania Waraka: Alphonce Lusako alias Emekha Ikhe kwako prof. Rwekaza Mkandala

    Freedom is coming tomorrow........
Back
Top Bottom