Na mimi niseme kitu hapa!
In theory ni kweli w/me ni dhaifu ukilinganisha na w/ke, lakin in practicle w/ke ni dhaifu, wacha nichambue hapa; kama Mtambuzi alivyoelezea, kuwa aliechini hupigana kwa kila hali ili awe juu, na ndio w/me wanavyofanya kuficha huo udhaifu wao, japokua Mtambuzi amesema w/me hutumia mabavu kuficha udhaifu huo, na kweli huo udhaifu unafichika, kiasi kwamba w/ke wenyewe wanajiona wao ndio dhaifu, hadi wengine baada ya kuona hii thread ya Mtambuzi ndio wanatambua kama w/me ni dhaifu kuliko wao, hapa tunaconclude TAJIRI NI TAJIRI HATA KAMA ALITUMIA NJIA ZA HARAMU KUUPATA HUO UTAJIRI.
Kwa upande wa pili mbona hata maandiko yanaelezea M/me ni kiongozi wa w/ke? Eg: Qur-an.
So, in theory w/ke wako juu lakini in practicle Majembe tuko juu!