Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
mimi niliona mapema, anajibu za kidhungu tu, nikahisi hajui kiswahili....
labda tumwombe kakako/mumeo? The Boss aje akusaidie kutafsitri, maana naona yeye kimetoka
Hahahaha, tena ngoja nimake hii clear maana si wewe tu hata mlongo wako snowhite anachanganyikiwa na uhusiano wangu na the big boss in the big bass ( The Boss ); huyu ni kaka, lakini he is just too good and 'you know what l mean' to be just kaka; maana tulikuwa tunajikuta tunaoneana wivu. so baada ya kujitafakari na kwa msaada wa kaka mwingine KIKUNGU tukakubaliana tuende mbele zaidi. So kwa kinyamwezi we are very right, maana wanasema kaka yako ni mume wa maisha.
So no matter where l go or where he goes we can always find each other; so ni sawa na open marriage na ndio maana Kikungu alisisitiza niwe mkewe wa wakati wa raha tu, shida zikianza naweza ondoka na kwenda kungine; na yeye akiniona sio sexy any more anaweza tafuta kidada kingine lakini we can always come back to each other.
So this is the arrangement!