Recent content by Tika

  1. T

    TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

    Akitoka huko kituo cha kwa na chata
  2. T

    Trafiki Kigamboni mbona wengi kiasi hiki barabarani

    Nadhani hao siyo trafik, ni wananchi walioitikia wito wa kuvaa nguo nyeupe leo siku ya saba saba.
  3. T

    Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Jumla ya faini sh. 350 ml ni makusanyo makubwa kwa serikali kuliko kuwafunga miezi mitano. Lakini kwa CHADEMA na amani ya nchi ni ushindi.
  4. T

    Sheikh Shaffif: Yanga itashinda, hamna shaka katika hilo

    Ni vizuri kujifariji. Hata mgonjwa mahututi ukimsalimia atakujibu "naendelea vizuri" hata kama afya yake inazidi kuzorota.
  5. T

    The World is a flat plane and not a globe

    Namkumbuka Bushma wa Kwenye sinema ya THE GODS MUST BE CRAZY 1.
  6. T

    Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

    Toa hoja. Kutukana ni dalili ya kukosa hoja au kutoelewa mada.
  7. T

    Wito wa Dharura wa Zitto Kabwe kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Malechela, Cleopa David Msuya, na Viogozi wote wakuu wastaafu

    Wastaafu wako kimya baada ya kuambiwa "wanawashwawashwa". Hii ni kauli nzito.
  8. T

    Wabunge wa upinzani washirikishwe zoezi la ugawaji kitambulisho cha mjasiriamali hasa mkoa wa Iringa

    Tatiz Tatizo siyo uwezo wa kununua bali ubabe unaotumika kuwalazimisha watu kununua bila kuwaelimisha. Wahehe huwa hawakubali kunyanyaswa, hata Mjerumani anajua.
  9. T

    Trump on Africans again. "Are you humans?"

    Trump anajaribu kutuamsha ili tujitathimini na kujiletea maendeleo tofauti na wale wanaotupatia pipi ( misaada) ili wazidi kutunyonya.
  10. T

    Nina pesa halafu sijui nitumie nini?

    Una sh. ngapi? Usije ukawa na sh 10,000.
  11. T

    Tetesi: Mabadiliko/Uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa Yaja

    Rais wetu hapagiwi. Kwa vile unampangia, hata kama alikuwa na wazo hilo ataahirisha.
  12. T

    Bye Bye Kenya's SGR: We loved you but Chinese loved you the most

    Watakusanya kwa nchi jirani hasa tz.
  13. T

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nini tafisri ya ndoto hii? Wafafanuzi wa ndoto mtusaidie.
  14. T

    Maandamano ya Kulinda Katiba Kuhusu suala la CAG. Pongezi Vijana wa Vyama vya Upinzani

    Naona vuguvugu linaanza nchini kama hatua stahiki hazitachukuliwa. Busara inahitajika.
Back
Top Bottom