The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Hii ni time-lapse photograph at the north pole, na ni proof kwamba dunia inarotate.

NB: Hii picha imepigwa na photographer tu sio NASA.
images-5.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Newton's gravity theory explains y things naturally fall, sasa kama unabisha hakuna gravity maana yake unabisha kwamba vitu havianguki

Sent using Jamii Forums mobile app
Nieleze kwanini mawingu yanayobeba tones of water na hayadondoki ila kikombe ukiweka maji ukayarusha juu yanadondoka,je ni nini kimeshikilia yale mawingu?

Nimekuambia as stars are attached to the firmament likewise as objects are attached to the earth and is due to electromagnetic force ,kingine ni density the less molecules are dense an object floats the more you fall "density in air" why fall because objects and whatever on earth is attached through electromagnetic force not gravity because has never existed is an assumption termed for an action with no facts beyind or proof,but in the real world i gave you the proof.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unachanganya mambo sana sana huenda hujasoma physics ukaelewa kabisha hasa kwenye hilo suala la ndenge na mambo ya satelite na mawasiliano.
Mpaka sasa kusafirisha mawasiliano kwa njia ya satelite kwa speed kubwa technology haijafika huko ndiyo maana ukitaka internet yenye kasi lazima tutumia mkonge. Ila taratibu gunduzi utatufikisha huko kama ilivyo science inapitia mabadiriko.
linapokuja suala la ndege nimecheka nikakumbuka yule sheikh aliyesema kama dunia ingekuwa ina rotate basi helcopter ingeganda hewani baadaae ikajikuta nchi nyingne. hakujua kuwa dunia inarotate na kila ilicho nacho mfano. Uwe kwenye basi linalokimbia halafu ruka juu huwezi jikuta nyuma utatua pale pale uliporukia. hata nzi anayepaa kwenye gari linalotembea akiganda hewani hawezi jikuta nyuma bali atabaki pale pale
Kweli sikusoma fizikia ya darasani ila nimesoma fizikia ninayoitumia katika maisha na ndio maisha yangu ya kila siku
Shida sio 1 kujumlisha 1 ni mbili
shida hiyo moja umeitoa wapi?
Umejumlishaje?
Usilinganishe hesabu za darasani wakati wanafanya vitu reality na mambo yakule darasani yakufanyia hayafanani kabisa katika misingi

unapoambiwa maji ni uhai kisha unakuta mtu mtaani yeye hatumii maji kabisa na unaona kawaida ni ubwege wakiwango cha phd kabisaaaa

yaaani kwa fizikia uliyoisoma wewe darasani unashindwa kujiuliza kwanini katetemeko ka ardhi kenye eneo dogo sana kulinganisha na speed ya dunia unaweza kuihisi lakini ile speed kubwa hauihisi?

hebu leta hesabu zako za darasani hapa tuone kama zinaweza kuendana na uhalisia ambao sisi tunautaka katika maisha ya kila siku

kilimo cha matikiti maji kwa katika karatasi ni utajiri mkubwa mno sasa hebu ingia shambani ukapate ukweli wake kama ni pesa ama sio pesa

nyie ndio mliamini mkisoma sana mtakuwa maraisi na marubani\]
++ck Off
 
Mwezi na sayari nyingine huonekana vipi huko angani. .jinsi tunavyoziona ndivyo dunia yetu pia ilivyo,dunia ni kubwa kuliko vile mawazo yetu yanavyodhani 'yaweza kuwa flat ama sio...lakini ukitazama live space ya nasa dunia inaonekana duara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Globe earth believers has no conspiracy
Umeiona dunia ikizunguka?
Je tangu ianze kuzunguka speed imeongezeka au imepungua?
Na kipi kinachofanya ipungue na kipi kinachofanya iongezeke hiyo speed?
Hata hizo pics/videos zao za nje ya dunia ingetakiwa tuone ikizunguka kwa hiyo speed. Maana ndani mnasema hatuihisi.

Unaona kuwa unachanganya mambo.. maana ya maji ni uhai siyo kwamba ukanywe maji, maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya mwili wako ni maji yakipungua umeondoka. Viume vyote asillimia 99 vinategemea uwepo wa maji kuishi yasipokuwepo vimeondoka na wewe utakosa chakula utaondoka...
The more you think you see, the less you'll actually notice.....
 
Sio what you see i mean whats happening there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Time lapse maana yake camera imepiga picha nyingi kwa interval, say after every 5min. Nyota zimetembea sababu ya mzunguko wa dunia.

- Labda unaweza nielezea hiyo consept ya polarization unayoisema. Unamaanisha magnetic activities au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeiona dunia ikizunguka?
Je tangu ianze kuzunguka speed imeongezeka au imepungua?
Na kipi kinachofanya ipungue na kipi kinachofanya iongezeke hiyo speed?
Hata hizo pics/videos zao za nje ya dunia ingetakiwa tuone ikizunguka kwa hiyo speed. Maana ndani mnasema hatuihisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu elezea hii observation.
images-5.jpeg

Experiment
Chukua vitaa vingi uving'inize juu alafu uviangalie ukiwa umesimama chini yake huku ukizunguka, u'll see the same observation.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi na sayari nyingine huonekana vipi huko angani. .jinsi tunavyoziona ndivyo dunia yetu pia ilivyo,dunia ni kubwa kuliko vile mawazo yetu yanavyodhani 'yaweza kuwa flat ama sio...lakini ukitazama live space ya nasa dunia inaonekana duara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenda space ni jambo lingine kabisaa na mwezi ni luminescent circle inayo glow sasa hao waliotuwa miaka ya 60 kwanza ni uwongo pili wanashindwa kurudi kwanini ila mars na Saturn wakombioni kwenda huu si ukichaa kabisa.

Halafu mtu yupo mwezini anamjibu mtu duniani kama wanaongea na simu kuwaida hakuna hata delay in transmission.
apollo-15_2.jpeg
apollo-15_18.jpeg
15-86-11670print.jpeg
C0021196-Apollo_Moon_boot_sole-SPL.jpeg
Rover1.jpeg
flat-earth-meme-37-10.jpeg
flat-earth-memes-359-152.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time lapse maana yake camera imepiga picha nyingi kwa interval, say after every 5min. Nyota zimetembea sababu ya mzunguko wa dunia.

- Labda unaweza nielezea hiyo consept ya polarization unayoisema. Unamaanisha magnetic activities au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse tafuta live video ya hiyo picha yako uiangalie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom