Nina pesa halafu sijui nitumie nini?

huwa unazifanyia nini?
We jamaa unazingua Kazi ya hela ni kulia bata. Nazipasuaga batani. Coz moneybis the just trap of numbers na Ukitaka kujua haya nu pindi binadamu anapokufa hapo ndio maisha halisi ya ukweli yasiyo feki yanaanza.. No money in afterlife ndio sababu hata Mungu hatumii hela.

Hivyo, ukizipata huku Duniani zipasue mapema.
 
Back
Top Bottom