Recent content by Ticher

  1. T

    Maajabu ya kupotea kwa wanafunzi wa Burundi nchini Marekani

    Wanafunzi sita wametoweka kwenye maonyesho ya kimataifa ya Roboti yaliofanyika huko Washington Marekani . Wanafunzi hao kutoka Burundi wavulana wanne na wasichana wawili wakiwa wenye umri kati ya miaka 16-18 bado wanatafutwa bila mafanikio. Kwenye webiste yao waliweka kauli mbiu " Ugushaka...
  2. T

    Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

    Mbwa ni kampani wala hana ubaya, bado ni mlinzi pia ni analeta entertainment hasa kwa watoto wanapata kitu cha kucheza nacho , inavyoonekana unakuwa haupo mara nyingi . Pia vitu vingine fanya uchunguzi tu labda hata uko kwao alipotoka alikuwa nae. Alafu Take care na mambo ya ndani usiyalete...
  3. T

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Kwa wakati wa Digital technology kweli mtu anapoteza muda kwa non sense kama hii ya Alien? Reference zenyewe za movie na Ulimwengu wa kufikirika !!!? Ni Lini tutakuwa na post za maana za kututoa hapa tulipo na kwenda mbele , Tutatoka vipi kwenye hii mental slavery na kuwa huru kweli kweli , I...
  4. T

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hao ndege ni aina mbili tofauti, wa kwanza anaitwa Greater kestrel, na huyo mwingine ni Sooty falcon. Tafuta kitu kama sanamu ya mtu weka kati kati ya sehemu kuku walipo ( Scarecrow) ivalishe vitu kama nguo . Hapo unaweza kumaliza tatizo.
  5. T

    Ushauri kwa Mkuu wa Polisi: Risasi zinazopigwa hewani makazi ya watu zinaweza kuua

    Risasi iliopigwa hewani inaweza kuleta madhara kama kujeruhi na hata kuua wakati ikiwa inarudi ardhini . Ingawa inaweza kupoteza ile trajectory motion basi kama imefyatuliwa kwa angle ambayo itadumisha trajectory motion basi itaweza kuleta madhara mfano ; April 6, 2014: A 20-year-old pregnant...
  6. T

    Shangaa EAC: Kenya holding Uganda, Rwanda cash as EAC single tourism visa nears collapse

    Why are you panicking!! Try to read your comments again
  7. T

    Shangaa EAC: Kenya holding Uganda, Rwanda cash as EAC single tourism visa nears collapse

    This is interesting , mabishano ya kuonyesha nani zaidi?? Wakumbuke Tz ndio hivyo tena inapaa bado kidogo tutakuwa tunashindana na nchi zilizoendelea na kujifananisha nazo . Ukanda huu wa East Africa mdogo sana kwetu. Proud to be Tanzanian.
  8. T

    Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

    Rwanda wanapata hasara tu ,hamna faida yeyote wamepata pamoja na kuwa na hizo Airbus , Embu refer kwenye business trend 2010-2015, Big up Bombardier!! Business trend RwandAir has been loss-making for a number of years. Detailed accounts do not appear to have been published, with only a few...
  9. T

    Tanzania yajitoa katika mpango wa Visa ya pamoja Afrika Mashariki

    You have no idea what you are saying , Statistically in Tourism we are better off by ourselves. Just recently they were claiming Oldupai was in Kei , what about Kilimanjaro , Even Serengeti . Fear and facts are two different things
  10. T

    Malkia wa Sheba (Queen of Sheba) ni nani?

    Mfalme Solomoni akimpokea Queen of Sheba. Haya hii hapa version mojawapo maana ziko kama tatu . Based on the Gospels of Matthew (12:42) and Luke (11:31), the "queen of the South" is claimed to be the queen of Ethiopia. In those times, King Solomon sought merchants from all over the world, in...
  11. T

    Mabinti wanne!!!

    Teacher -Baba Eliza ana mabinti wanne , Nana , Nene , Nono wamwisho anaitwa.....? Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!! Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne anaitwa ....? Dent - Nimeshasema Nunu .... Teacher - du!!! hapa nina kazi kweli kweli
  12. T

    Lengo la dini ni nini?

    Uko sawa kabisa lakini kwa akili za kibinadamu !! unamtafakari Mungu kwa kutumia utashi na maarifa ya kidunia hapo kamwe hutaweza kupata jibu. Kipofu wa kiroho atawezaje kuona uwepo wa Mungu!!. Ukimtafuta Mungu kwa njia sahihi hakika atajifunua kwako ndipo utaelewe dhumuni la wewe kuja hapa...
  13. T

    Madaktari kufanya Operesheni ya kumkata mtu kichwa na kumuwekea mwili mwingine

    Daktari wa Kiitaliano Sergio Canavero alishika vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali baada ya kutangaza kwamba atafanya operesheni ya kuhamisha kichwa cha mtu kwenda kwa mtu mwingine mwaka 2017. Amejiunga na Daktari wa Kichina Xiaoping Ren wafanye kazi pamoja. Na sasa amepata mtu wa...
  14. T

    Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa

    maana hata tunachokiona kwenye hiyo sayari kwa kutumia darubini tayari kimeshapita miaka minne !!! kama huko kuna viumbe wangekuwa wanatuangalia kwa sasa wao wangeona hapa Tanzania Jk akiwa Rais na mambo mengine ya miaka minne iliyopita.
Back
Top Bottom