Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi


mtana76

mtana76

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
484
Likes
270
Points
80
mtana76

mtana76

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
484 270 80
Tz uwezi kulinganisha na Rwanda kabisa hata wanunue Airbus A380 kumi , bajeti ya jiji la Arusha tuu ni sawa na bajeti nzima ya Nchi ya Rwanda kwa Mwaka .Rwanda ni Kigali tuu lakini toka nenda nje ya Kigali ndio utajua zaidi hiyo Nchi hipo vipi
 
mulanKE

mulanKE

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2016
Messages
383
Likes
256
Points
80
Age
23
mulanKE

mulanKE

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2016
383 256 80
Dah yan kuna majtu jf yakilala yakiamka yanakuja na vtu vya ajabu... sa unataka tz wafanyeje?... kabla ya kuleta upuuzi eb jarb kufanya kareserch kadg tu! thn ndo uje uweke ujinga wako..
Sasa wewe nani ametaja tz hapa .
 
T

Ticher

Member
Joined
Apr 22, 2016
Messages
18
Likes
20
Points
5
T

Ticher

Member
Joined Apr 22, 2016
18 20 5
Rwanda wanapata hasara tu ,hamna faida yeyote wamepata pamoja na kuwa na hizo Airbus , Embu refer kwenye business trend 2010-2015, Big up Bombardier!!
Business trend
RwandAir has been loss-making for a number of years. Detailed accounts do not appear to have been published, with only a few public announcements from senior management or the government giving details of the scale of the operation; available trends are shown below (as at year ending 31 December):

2010 2011 2012 2013 2014 2015
Turnover (FRw bn) 30
Turnover (US$ m) 47.2 81.4 100.7
Net Profits/Losses after tax (FRw bn) loss loss loss loss loss loss
Net Profits/Losses after tax (US$ m) loss loss loss loss loss loss
Subsidies received (FRw bn) 10.8[16] 25.2[17] 22.0[18] 27.0[19] 29.1[20] 33.6[21]
Number of employees (at year end) 749 n/a
Number of passengers (m) 0.13 0.20 0.36 0.41 0.50 0.60
Passenger load factor (%) 60
Number of aircraft (at year end) 8
Nyinyi bado mnalala.. No one will wake you up
 

Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653