Shangaa EAC: Kenya holding Uganda, Rwanda cash as EAC single tourism visa nears collapse

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,859
2,000
Wakenya wamewaingiza chaka waganda..
But all in all wakenye wajipange sana wakija Tz hap ndio bongo.
 

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,361
2,000
Jambo ambalo nimeona ni kuwa wakenya bado wanacherish ukoloni, they might not know it but that's how it is. Reference nyingi mara CNN wanatusifia mara mzungu kasema hiki mara kile, grow up!
Wakati wao (westerners) pamoja na economic and millitary might waliyokua nayo bado wanaseek ku unite lakini sisi tunaleta longo longo na ujanja-ujanja (or ujinga-ujinga rather) ambao unafanya tusiaminiane na ku create further fragmentation than integration. Kenyans msisifie na kufuga ujinga na kuujustify kwa kuwatusi wa Tz and vice versa. East Africans kama kweli tuna aim kufika pahala tushirukiane bila kuwa na ulterior motives otherwise itakua hadithi tu na huu ushirikiano utakufa kama ilivyokua mwanzoni.
Kenya, corruption na wizi msiu-extend mpaka nje na kuanza kujisifia kwamba ni wajanja. Hili suala litakuja kuwacost sooner or later.
Jay456watt for once change lyrics, kila verse unayoweka maneno yale yale. Kutukana na ku undermine others wouldn't help a thing! Ofcoz it probably makes you feel better but to others it makes you seem stupid!!
Tuache maneno ya kwenye kanga na kuheuza jamvi kuwa painkiller instead tulete hoja za msingi. Through divide and rule mkoloni alitutawala, waafrika tuache kuwa wapumbavu na tuanze kuangalia mbali kwa manufaa ya future ya bara letu
mpumbavuu wewe mkoloni ni mamako
 

ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821
2,000
Stori hii ameinuku wapi?

Ni kweli kwamba pesa za kenya za utalii haziwezi tumika bila parliament kuidhinisha! Hiyo ni kulingana na Constitution yetu na wala sio wizi anavyosema huyu!

Na kwamba watanzania walijua kitambo hilo ni uongo! Nilikuwa Arusha mjini kama 2010 hivi, sikumbuki, lakini kulikuwa na jambo kwamba kuwe na biashara huru, na hivoy wakenya wengi walikuwa wamefurika Arusha wakiuza bidhaa huku wakiwanyanganya watanzania wateja!

Hivyo watu wa Arusha wakaanza kulalamika! Na ndio maana serikali ya Tanzania ikakataa! Sio kwa lingine ila ni kuogopa competition kutoka kwa wakenya!
Inawezekana ikawa ni kweli wanaogopa huo ushindani, lakini lililo kuu ni historia iliyoukumba ule muungano wa awali na mgawanyo wa mali, lazima wawe makini sana na wakenya kwa historia hyo.
 

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,558
2,000
ndio ufanyie nini...wewe shoga au?
Kakate hilo govi, utafiti umethibitisha govi hupunguza uwezo wa kufikiria, na hili umelithibitisha hapa kwa kuonekana hujiamini unatukana hovyohovyo kama mwendawazimu.
Fanya tohara uwe mwanaume kamili.
 

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,361
2,000
mpumbavu
Kakate hilo govi, utafiti umethibitisha govi hupunguza uwezo wa kufikiria, na hili umelithibitisha hapa kwa kuonekana hujiamini unatukana hovyohovyo kama mwendawazimu.
Fanya tohara uwe mwanaume kamili.
mkubwa wewe
 

Ticher

Member
Apr 22, 2016
18
45
ati nchi zilizoendelea??? hehehe...tingisha kichwa kwanza....never quote a Kenyan look at this one!!! know your place in society...a Tanzanian must not even mention a Kenyan....hell he better not even think of it...that will be disrespect of the highest order....ni kama Canada inatusi USA...Romania inatusi Germany....Chile inatusi Brazil....India inatusi China.....New Zealand inatusi Australia....Ghana inatusi Nigeria....Libya inatusi Egypt....Botswana inatusi South Africa....hehe....have you seen how CNN has referred to us????? Geothermal SUPERPOWER!!!!ebu niende Nairaland atleast apo ina mek sense coz hapa na waste time na washenzi..inferiors..commoners...Kenya ndio kusema East and Central Africa...Ethiopia wanajaribu wengine insignificant tu
Why are you panicking!! Try to read your comments again
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom