Recent content by TIAportal

  1. TIAportal

    JamiiForums Tanzania WAPANGAJI TUKUTANE HAPA TUPEANA MACHIMBO MAKALI YA KUISHI.

    Daah hii imeenda😅😅😅
  2. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Aisee kweli namna hii kitauzika weka details zote Mkuu.
  3. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    A comment from the Electronics Engineer...
  4. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuh!!
  5. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Nahitaji AutoCAD Electrical 2022 au EPLAN Mkuu.
  6. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpesa openAPI integration

    I'm not a software developer, But I'm genuinely impressed with your skills. I wish hii forum ya tech ingekuwa na posts kama hizi tungekuwa mbali sana, tusingekuwa tuna download tutorials za kihindi. Natumaini utapata suluhisho la project yako.
  7. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Habari Mkuu, Ni dhahiri unahitaji msaada katika hili. Binafsi nina maswali kadhaa ya kukuuliza kabla sijasema utumie solar gani, panel ngapi na mengine mengi. 1.Pump ya petrol unayotumia ina uwezo gani hasahasa electrical power rating? Katika hili unaona inakidhi ufanisi? 2.Unatumia muda gani...
  8. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa umuhimu wa waya wa earth

    Umeuliza swali zuri mkuu! Umuhimu wa kuwapo waya wa earth katika vifaa vya umeme ni kukulinda wewe mtumiaji pindi ikitokea waya wa moto( Live wire) utagusa metal cover inayotumika kufunika kifaa chako ,umeme huo uweze kupitishwa katika njia yenye ukinzani mdogo kuelekea ardhini na sio katika...
  9. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

    Soma kitu ambacho kitaa kinabamba, Kwa ufaulu wako unaweza kusoma course yoyote ya engineering au afya. Kasome Electrical with automation arusha tech, Electronics and telecommunication/ Electrical and electronics St joseph,Dit, must au almaktoum college.
  10. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    56B33C1 Betpawa ruka nayo.
  11. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Usichojua kuhusu chakula. Chakula kina siri kubwa kwenye Ulimwengu wa roho

    Nina mashaka na IQ yako!!!
  12. TIAportal

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

    Download app inaitwa Udemy. Tengeneza account huko tafuta course unayopenda na ufundishwe na wabobezi katika fani unayotaka. Make sure unaweza kununua vitu mtandaoni kwa kutumia visa au MasterCard ,nakushauri utengeneze virtual card ya visa/mastercard kupitia line yako ya simu say vodacom kwa...
  13. TIAportal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa Kike Anatafutwa

    Deleted
Back
Top Bottom