msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 456
- 330
Wakuu!
Habari zenu
Natumaini muwazima wa afya tele
Lengo la kuandika hapa ni kupata mchanganuo wa waya ambao huwekwa chini ya ardhi na kuwekwa chuma cha rangi ya dhahabu na chumvi pamoja na mkaa
Huo waya unatokea kwenye main switch
Nilikuwa naulizia huo waya huwa unasaidia nini?
Je, ukiacha kuuweka kuna madhara ambayo yanaweza kutokea?
Ninakuwa naona watu wakimwagilia maji ninini faida yake?
Mwenye uelewa na somo hilo anisaidie
Elimu ni bahari.