Recent content by THOTHOLITHO

  1. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna Vijana wakarimu sana yani sana!

    Ni wakarimu sana mkuu. Na utafurahi zaidi mtakapofika huko anakokupeleka pale utakapompa asante na yeye kukupa pole kwa safari na 5,000 juu
  2. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Utakuwa na BSc in ALL Profesional Studies.Hongera sana. Ulisoma nchi gani na chuo gani mkuu
  3. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania FFU Manyara leo kuna nini Mbona hivyo?

    ahaaaaaaaa. Si unaona mateke na ngumi za hewani hizo mkuu. Eti baada ya hapo unapewa kabelt. Na ka belt kwako eti home unafuga mbwa. Lala mlango wazi.
  4. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania FFU Manyara leo kuna nini Mbona hivyo?

    Black Belt. Black Belt...Hiyo miiko mliyopewa ni changa la macho maana hizo mnazoita MBINU HATARI za kufikirika mkirusha ngumi na mateke hewani au kuchezeshana mbinu nikimaanisha unarusha ngumi au teke alafu mwenzako anapangua. Kuna wenzako na tu belt twao wanapigwa na masela kitaa!
  5. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Jiwe hili lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu?

    Kinachotofautisha ni THAMANI YAKE SOKONI. Mawe,kokoto,mchanga yote ni MADINI mkuu. Peleka kipande kidogo kwa wataalamu wa MADINI watakujulisha umeokota nini. Isije kuwa umeokota MAJINI mkuu Pole kwa kuokotaokota vitu ovyo ovyo. Si kila king'aacho ni........
  6. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Ipi dawa ya kuzuia kipara

    Duh
  7. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Ipi dawa ya kuzuia kipara

    JIKUBALI kwa na wewe unaingia kwenye hiyo 30%. Kwani nani alikuambia kuwa kipara ni ugonjwa hadi uanze kutafuta dawa? Ndio utakuta mtu jumapili hadi jupili mtu nywele hazionekani kisa kipara.
  8. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke Mzuri

    Mkuu ningekupa ushauri mzuri tu kuhusiana na mada yako tatizo lugha ndio inanipiga chenga. Sijaelewa chochote zaidi la neno la mwishoThank you.
  9. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Ajira za Afya TAMISEMI

    NOVEMBA
  10. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Nimeng'atwa na mbwa, nahitaji huduma ya kwanza

    Bweka kama mbwa mara 100 kwa muda wa siku 3 utakuwa umepona kabisa
  11. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania IPI COARSE NZURI KATI YA HIZI

    "COARSE" Inabidi ushauri wangu uanze na uandishi wa hili neno. Mkuu una mgogoro na malkia???
  12. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa Bachelor of Science in Nursing, wanajamvi mnisaidie kujibu maswali haya.

    Hili ndilo tatizo la kuomba ushauri wa mtu aliyekata tamaa Mkuu umeomba ushauri kwa Muuguzi mwenye cheti ambaye anaweza kuwa ni Nurse Attendant BSc Nursing akimaliza ajira yake iko wazi. Title ni Nursing Officer. Nitaendelea na ushauri wakati mwingine ngoja nimalizie K-vant yangu kwanza mkuu
  13. THOTHOLITHO

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara ya kufyatua matofali

    Fyatua fedha mkuu
  14. THOTHOLITHO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya course hizi mbili?

    Hakuna tofauti hapo mkuu ni mpangilio wa maneno tu kuhusu COMPUTER. Hiyo yenye kaneno Engineering itakusaidia maana utajinadi kama Engineer Klaus9 hivyo itakusaidia kupata ubunge wa kuteuliwa kama sio uwaziri kabisa
Back
Top Bottom