Polen na majukumu ya kila siku, Nina mdogo wangu amechaguliwa kusoma BSc in Nursing, Rafiki yangu mmoja ambaye tulisoma nae O level ni Nesi ngazi ya cheti amenieleza uuguzi haufai kwa tanzania, wananyanyaswa, hawafanyi maamuzi na wanalaumiwa na kila aliye mbele yao iwe n wagonjwa, ndugu na hata wakuu wa kazi.
ninaomba kujua mtu mwenye kusoma kozi hii
1. Ataitwa nani,
2.Atakuwa na majukumu gani hospital zaidi ya manesi wengine tunaowaona hospitali
3.Heshima ya kozi hii iko vp, maana sijawai kuona nesi amesifiwa mahali zaid ya kuwalaumu, mf Ajari ya morogoro, waliosifiwa kwa kuwahudumia wagonjwa n madaktari.
4.Upande wa masirahi uko vipi.
5. Ni sawa kwa kijana wa kiume kusoma unesi.
Ninatanguliza shukrani zangu kwenu wanajamvi.