Mkuu hii ishu ikija bongo yamkini Bima nyingi itakataa kugharamia hii huduma.Usidanganywe na hawa waganga wa kienyeji sijui paka kitunguu mara koroga asali.
Procedure ya kidaktari ya uhakika ni kufanyiwa upandikizaji wa nywele ndani ya mizizi ya nywele!
Utasugua hilo bichwa na mavitunguu mpaka uote mapembe.
Cheap is expensive!
Bima haitafaa hapo!Mkuu hii ishu ikija bongo yamkini Bima nyingi itakataa kugharamia hii huduma.
Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara.
Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia nywele kupotea...je kuna ukweli wowote...kama sio ni njia ipi ya kuzuia kipara
Sexual performance is proportional to amount of Testosterone hormone available in the blood stream, Lowering testosterone will automatically turn your erectile function down.Dawa nzuri ya kuzuia kipara inashusha testosterone,so kupiga mzigo itakuwa shughuli kweli kweli..upo tayari kwa hilo??



vaa wigi........
ushajikubali tayari ndio maaan avatar yako hata huyu msela ni Kipara moja safi sana.....



Ukweli huu mzee nimemuelewa, wacha tutafute pesa.
kipara kizuri uwe na pesa. kama huna aiseeh...
Mimi sijamshauri kwamba atumie..nimempa tu angalizo kuwa dawa nzuri ya kuzuia kipara inashusha testosteroneUkimanisha performance itakuwa poor ?? Sexual performance is proportional to amount of Testosterone hormone available in the blood stream, Lowering testosterone will automatically turn your erectile function down.
I don't suggest that, tafuta dawa moja inaitwa "Minoxidil" itakusaidia mzee mwenzangu.
DuhMkuu nashukuru kwa ushauri ila kichwa changu na upara ndio tatizo ni vile vichwa vya Kassim Majaliwa au Membe huwezi kukata zungu yaani ukipata kipara unachekesha