Huyu mkurugenzi naamini ni kweli alimwamuru mwalimu kudeki darasa maana kuna siku alikua na kikao na wakuu wa shule mbalimbali wilayani Misungwi na kuna waliochelewa kikaoni. Waliamriwa kusimama mwanzo hadi mwisho wa kikao na kikao kilipoisha waliagizwa kuanika barua ya maelezo kila mmoja na...
Well said mate. Most students tend to cram without really understanding the concept behind. Moreover, they lack the proper imagination required to solve some problems. In my opinion, Physics is neither simple nor tough, it clearly depends on how one takes it.
Dawa ni moja tu, ukiona umetamani demu mtaani unaenda kukamatilia papuchi ya mama watoto huku unaimagine ndo yule demu sasa. Asikwambie mtu, kila siku utakua unamuona mama watoto mpya na ndoa itadumu.
Nimewahi kusikia kutoka kwa watu wangu wa karibu, ndugu na jamaaa waliowahi kufanya kazi ama wanaofanya kazi kwa wahindi hadi hivi sasa kuwa, kama mfanyakazi ukionekana una mawazo chanya, mwenye akili nyingi, mjanja na mvumbuzi wa mambo kiasi ambacho unaweza kumshauri bosi nini mfanye kwa ajili...
Mbona anazo. Inasemekana ni mdogo wa Hardmad ila sina uhakika sana. Nyimbo zake solo ninazozifahamu ni:
1/. Fatma-Dibaji. (Prod. Marco Chali)
2/. Fatma Feat. Jay Moe-chozi la kusimuliwa. (Prod. Lamar)
3/. Fatma-Mwacheni atambe. (Prod. Lamar)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.