Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mbona povu hivyo mkuu, Tuliza presha.
Itakua hujui baadhi ya maneno unayatumia lakini hujui maana yake
Ukisema povu simply unamaanisha nimepanic sasa nimepanic nini labda? Nimekuelewesha anyway umeshinda call it a day
 
jamani tunaomba msaada wa maelezo kwa mwenye ufahamu na hili swali hiv ni lazima kwenda na tranka au hunaweza kwenda na begi tu
 
Tranka ni lazma na uwe na kufuli, wizi ni habar ya mjn, maelezo ya mahtaj yaliyotolewa yanaendana na mazngira achen ujuaji, ukienda na bag tu utard huna hata kitu, pia hutakuwa hata na dawa meno,mafta,sabuni nk kama utaacha trank na kufuli! Faten maelekezo, huko sio ugenini kwenda na bag, tranka na sport bag enough, huko ni KAZI TU!
 
jamani tunaomba msaada wa maelezo kwa mwenye ufahamu na hili swali hiv ni lazima kwenda na tranka au hunaweza kwenda na begi tu
Ni muhimu sana kwenda na tranka
Usiache kwenda na tranka
Kwa wakati wangu lilinisaidia kutunza vitu vyangu kwa usalama zaidi maana mpaka uibiwe labda mwizi awe na lengo la kukuharibia future yako kitu kama vyeti, au kuna pesa aliziona ndo akulie target avunje kufuri au kuhamisha tranka zima zima kwenda porini lakini ni nadra sana kitendo hiki kutokea.

Kwa ushauri wa bure tranka ni salama sana na utakua comfortable nalo kutunza vitu maana kule utajikuta hadi ubwabwa unautunza kwenye tranka, Karanga, mkate etc
Sasa wenye njaa wakikulia timing umeweka kwenye kibegi umeliwa bora uweke kwenye tranka.

Safari njema
Tranka kule waweza kuliita soldier box[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila kusahau juisi za Savannah na MADINI (Ukoko wa ubwabwa) navyo pia hutunzwa humoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii taasisi aseeee duh
 
Hivi huko kuna kuangalia mpira jamani??? wengine wadau wa EPL na VPL.
Inategemeana na kikosi, ila kwenye ukuruti mhhh sijui kama kuruti anaweza kupata time ya kuangalia mpira maana kila mtu kikosini humtazama kuruti kama mkosefu wakati wote, afande anakubamba unacheka mpira unaweza kujuta aisee.
Anyway sijui kikosi utakachokua kitakua na nature gani hapa Commandant(Commanding Officer au CO)/ Mkuu wa kikosi anahusika.
 
Back
Top Bottom