Habar wakuu,
Bila kupoteza muda naomb niende moja kwa moja kwenye swali. Naomba kufahamishwa app nzur ambayo naweza soma vitabu nilivo download ambapo naweza kubold,kuhighlight na kumark points.
Natanguliza shukrani
Mimi yangu imefikisha mwaka jana,bado ni piru,inatunza chaji,display nzur....naomb nielekeze tu jinsi ya ku upgrade kwend android 9 niendelee kula maisha
Jamaa kaeleza vema kabsa and logically,maana hapo sas tufany comparison ya gravitational force kat ya jua na dunia na hyo speed of light,..lets dig deeper tujue zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nafikiria kua kabla hata hatujaanza kuweka umakini na mawazo yetu sana kwa aliens and outerspace mystries while hata dunia yetu tu hii bado hatuja ixplore vya kutosha,nothing is known deep inside ocean floors,there are unknown animal and plant species completely bizzare and mystry to us...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.