Theo Galavan
Member
- Feb 5, 2013
- 30
- 13
Habar wakuu,
Bila kupoteza muda naomb niende moja kwa moja kwenye swali. Naomba kufahamishwa app nzur ambayo naweza soma vitabu nilivo download ambapo naweza kubold,kuhighlight na kumark points.
Natanguliza shukrani