Haaaaa nashangaa mami2000 uko la kwanza halafu unadhubutu kuchangia mambo ya wanyonya damu wewe mtoto muogope Mungu
acha kabisaaa yan mkisikia gari jekundu limepita hiyo sku full kuogopa
Ukirud nyumban unaambiwa kama hutak kuoga wanyonya damu watakubeba au wachuna ngozi
