Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,755
- 5,177
Part 2 iko wapi mkuu?
🤣🤣🤣
Bila Shaka atakuwa na msambwanda wa maana😁😁😁😁Achana nae tafuta mwanamke anaejielewa au kisa ana tako nn 🤣
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wino umekata sioKama kwao wanamfanyia hadi hizo kazi basi kuna uwezekano mkubwa alizaliwa na ug........ooh wino umeishaa
BLACK AFRICANS PUMBAF KABISAAAAA! UTOTO NA USHAMBA TENA NARUDIA KUONYESHA SIJAKOSEA!
HAKUNA MAYAI AFRICA YOOTE! .KAZI NI MOJA TUUU. HAO WANAOITWA MAYAI NI KUJIFANYA TUU. NA KUWAENDEKEZA TU, KWANI HANA BIBI, MJOMBA, SHANGAZI, BABA MDOGO, MASKINI WA KIJIJINI? HATA HUKO KIPAWA, MBAGALLA. JAPO BABA ANAZO ANAISHI GHOROFANI MASAKI.?
HAENDAGI KUWASALIMIA NDG MASKINI?
mimi na jokate tumezaliwa New york City tena, Green village mbona tunatwanga udaga kwa kinu? tunasomba maji kwa kichwa kutoka ziwani na tunajaza pipa.tunajua kukamua, tulichunga kondoo na mbuzi wa babu. mpaka leo mwenzangu anachapa kazi km DC na hateteleki.
umaskini bana??????
Wewe na rafiki yako JOKATE nimewakubali. Wanawake wa shoka..BLACK AFRICANS PUMBAF KABISAAAAA! UTOTO NA USHAMBA TENA NARUDIA KUONYESHA SIJAKOSEA!
HAKUNA MAYAI AFRICA YOOTE! .KAZI NI MOJA TUUU. HAO WANAOITWA MAYAI NI KUJIFANYA TUU. NA KUWAENDEKEZA TU, KWANI HANA BIBI, MJOMBA, SHANGAZI, BABA MDOGO, MASKINI WA KIJIJINI? HATA HUKO KIPAWA, MBAGALLA. JAPO BABA ANAZO ANAISHI GHOROFANI MASAKI.?
HAENDAGI KUWASALIMIA NDG MASKINI?
mimi na jokate tumezaliwa New york City tena, Green village mbona tunatwanga udaga kwa kinu? tunasomba maji kwa kichwa kutoka ziwani na tunajaza pipa.tunajua kukamua, tulichunga kondoo na mbuzi wa babu. mpaka leo mwenzangu anachapa kazi km DC na hateteleki.
umaskini bana??????
Mwili umejaa chale tuuuMajitu ya hivo unadhani yanashika mimba basi, hapo ana vijiti vya uzazi kila kiungo.
Mabinti waliolelewa kilelemama/kimayai ni shida sana.
Siku ya kwanza kuonana naye nilimuweka kidogo tuu(almost 20 minutes). Akawa anadai eti amechoka kukaa.
Tukaonana for the first time. Ni binti mwenye early 30's. Ila sasa mambo yake na umri hayaendani.
Hiyo siku tukapiga stori weeeh, nikamsindikiza kwao nami nikaenda kwangu.
Makubaliano yetu yalikuwa ni tuwe friends for benefit. Mwenye shida ni yeye na sio mimi, sababu hana mtu wa kumkuna.
Kupanga appointment ya kubenjuana akadai hawezi sleep-over. Kisa eti hajawahi fanya hivo na akifanya nyumbani watamshangaa sana.
Nikasema sio kesi, tukutane mchana tuu, tupige game letu kila mtu akalale kwake/kwao.
Siku ya siku tukaonana. Kwanza tulipokutania na tulipokuwa tunaenda kutulizana ni kama kilomita 1 sema ni njia ya vilima kidogo.
Nikasema ngoja tutembee tuu, kupanda bajaji/boda kwa kilomita 1 ni uzwazwa. Aiseee, njiani kidogo mtoto wa watu ateme roho.
Akipanda kimlima kimoja anahema balaa. Akawa ananiuliza hatufiki tuu? Jibu langu likawa moja tuu, bado kidogo.
Mpaka kuja kufika kasweat balaa na amefura mnoo kwa kumtembeza.
Ndipo akaanza kunambia hajazoea kutembea umbali mrefu namna ile. Pia isitoshe ana tatizo la presha na yupo kwenye dozi.
Pia akadai hajazoea kufanya kazi ngumu kama kufua, kupika n.k. Nyumbani wanamfuliaga na huwa haingii jikoni kupika.
Hapo alipo ana 90kg. Ana presha na ndio kwanza ana 30's yrs. Nikajiuliza huko ndani si naenda kuua?
Ila nikajipa moyo nikasema ngoja nikajionee itakuwaje.
Part 2 inakuja ya kilichoendea huko ndani.
**********************************************
Balaa zaidi ni yule kwao choka mbaya halafu ukimtoa out anakuja na marafiki zake kibao na kuagiza Savanna na Whiskey za kutoshaAchana nae tafuta mwanamke anaejielewa au kisa ana tako nn 🤣
Aisee Mimi ningekuacha dakika hiyo hiyo na papuchi hupati. Yaani unitembeze mimi KM 1 [emoji1787][emoji1787] una utani na wadada wewe. Bajaji tu sipandi sembuse kutembea [emoji3061].
🤣🤣🤣🤣🤣 huwa mnawaokota wapi hao wajinga? Mie si entertain demu njaa maana ni waigizaji maisha sana, huwa siwapendagi tu.Balaa zaidi ni yule kwao choka mbaya halafu ukimtoa out anakuja na marafiki zake kibao na kuagiza Savanna na Whiskey za kutosha
🤣🤣🤣🤣🤣Dada kwa level ya kimaisha uliopo naamini utakuwa haurudii hata chupi, yaani ukishaivaa mara moja tu unaitupa huko.