Recent content by themagainst

  1. themagainst

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    Hupaswi kulalamika,unazuia ubongo kufikiria.....kubali unayopitia umiza kichwa,anza upya ,shirikisha marafiki na ndugu wenye akili ....anza kidogo chochote utakachoweza.....
  2. themagainst

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ujuzi wa kuagiza gari, aina ya caldina

    Asante sana,pamoja sana.... je nikiiagiza kwa bei hyo huku nitaitoa bandarini kwa bei gani,mchanganuo wa bandarini cjaujua vzr
  3. themagainst

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ujuzi wa kuagiza gari, aina ya caldina

    Heri ya mwaka mpya 2016. Samahani msaada kwenye tuta, nina maswali machache; 1. Naomba kufahamu kuhusu magari aina ya Caldina uimara, gharama ya kuimudu, spare ,usalama, mafuta. n.k 2. Je kwa wenye uzoefu,gari hii nikiiagiza inauzwa dola 1400, ni ya mwaka 2007,ina cc 1790, imetembea km...
  4. themagainst

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    nn tena?
  5. themagainst

    JamiiForums Tanzania Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

    Balaa,tafuta kazi wewe........
  6. themagainst

    JamiiForums Tanzania kila mtu kwa kabila lake!!!

    Mwagona mwagona wasafwa
  7. themagainst

    JamiiForums Tanzania Kwa malaya bila kinga

    Nenda hospital haraka watapima na kukupa arv za kuzuia,ndani ya masaa 72
  8. themagainst

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu

    Sina mbavu
  9. themagainst

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu huyu

    dah sina mbavu mimi
  10. themagainst

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mpito kuelekea kwenye utawala mwingine

    waamuzi ni wananchi
  11. themagainst

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mpito kuelekea kwenye utawala mwingine

    hakuna chama chenye hati miliki na nchi hii-esther wassira the great
  12. themagainst

    JamiiForums Tanzania MAONI: Kama ningekuwa JK

    ningeacha kutabasamu
Back
Top Bottom