Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA


Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr. Rodrick ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA.

Dr. Rodrick amesema kuwa ndani ya taasisi yenye mkono wa serikali hakuna nafasi ya kupigania maslahi mapana ya madaktari Tanzania, amesema ameona mahali pekee atakapopigania maslahi ya madaktari kwa uhuru ni chadema, chama ambacho kimeonyesha kwa nia na dhamira njema kutetea maslahi ya wanyonge kwa vitendo.

Tunamkaribisha kwa mikono miwili.

Source: ITV
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,621
Likes
2,691
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,621 2,691 280
I saw him,haya siasa kama ndoa hawa wanatoka,hawa wanaingia
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,769
Likes
2,021
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,769 2,021 280
Dini gani huyu?
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,065
Likes
4,861
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,065 4,861 280
..

....Maamuzi ya Kishujaa...Karibu kamanda
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,327
Likes
10,112
Points
280
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,327 10,112 280
Jamaa anaongea kwa kujiamini. Nimempenda gafla.
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,726
Likes
70
Points
145
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,726 70 145
Karibu Dr Katika tanuru la fikra, Ni watanzania wangapi wenye Ujasiri huu! We need change,s and change never comes without you""
 
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
60
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 60 0
afadhali maana tumechoka na press za masalia. Welcome to the world!
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,424
Likes
73,875
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,424 73,875 280
Hata mimi nimemuona kupitia ITV akitoa maekezo yake.

Bora amechagua chama makini.
 
delusions

delusions

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Messages
5,019
Likes
704
Points
280
Age
52
delusions

delusions

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2013
5,019 704 280
Amekosea njia atarudi tu
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,609
Likes
6,125
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,609 6,125 280
Safi sana,na hawa wanaohamia chadema hawahamii kwa kununuliwa kama vile CCM inavyonunua wanachama
 
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Likes
225
Points
160
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 225 160
Rais wa Chama Cha Madaktari Tanzania Dr. Rodrick ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA.

Dr. Rodrick amesema kuwa ndani ya taasisi yenye mkono wa serikali hakuna nafasi ya kupigania maslahi mapana ya madaktari Tanzania, amesema ameona mahali pekee atakapopigania maslahi ya madaktari kwa uhuru ni chadema, chama ambacho kimeonyesha kwa nia na dhamira njema kutetea maslahi ya wanyonge kwa vitendo.

Tunamkaribisha kwa mikono miwili.

Source: ITV
Najiuliza kwann asiende nccr mageuzi badala yake akachagua chadema. Leo nimepata ni kwann akina zitto , mtela, Juliana, habib na wengine hawataki kuondoka cdm. Jibu ni kuwa hawataki kuondoka kwenye tumaini pekee za kizazi kipya cha tz. Karibu kamanda. KILA WIKI LAZIMA TUPATE KAMANDA MPYA!
 
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Messages
2,524
Likes
133
Points
160
Leomimi

Leomimi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2013
2,524 133 160
Au kaahidiwa ukatibu he he he he kweli pro chadomo wasanii
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,065
Likes
4,861
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,065 4,861 280
...

.....Mkunga wa Mvomelo upo?
 
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
1,051
Likes
645
Points
280
Age
33
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2013
1,051 645 280
Rodrick Lema?
 

Forum statistics

Threads 1,272,592
Members 490,036
Posts 30,454,577