Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

Try 2 ask urself these simple qn. Ukiw na miak 35 huyo dada atakuw na mingap? Aisee jamaa yangu umri n kigezo cha kuoa ambacho mimi kijana nazingatia. Kazi huna unamilik gar co mbaya ila co lako ulishajiuliza kadi yake ilipo?aisee hebu kaintroduce hyo mada maeneo ya home uckie wanang'akaje? Zingatia kutafuta kazi na maisha yako ya baadae huyo dada kuna cku atageuka mbogo utajuta
 
Mbona naona na wewe kama uko desperate flani hivi! Yaani kama upo kimaslahi hivi! Lakini la msingi zungumza na Moyo wako.umri sio issue.
 
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.

Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?

Watanzania ni watu wa ajabu sana ndio maana wanaliwa kiurahisi sana hata kwa kilo za chumvi sasa hapa kuna ubaya gani watu wanatoa michango ya kijinga kijinga mara ukiamka asubuhi lazima umpe shikamoo mara oooh miaka yote hiyo hajakuwa na mtu kwani jamaa kasema alimkuta bikra?Hebu tuache mambo ya kishamba Mkuu mapenzi ni kama Elimu haina ukubwa so kuhusu Age mie sioni kama kuna shida wewe muowe au oaneni kwa raha zenu cha muhimu ni kuelewana na kuvumiliana Age sio hoja oa mkuu anzisha familia na wote wenye roho mbaya watawaona tu through side mirrow.Kila la Kheri mkuu
 
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya Mji, tatizo ni kwamba ana umri wa takribani miaka 35 sasa, na wkt namuapproach moja ya sababu iliyopelekea asite kunikubalia ni age difference ila at last nikafanikiwa kumshawishi...washkaji na kaka zangu wananionea wivu sana wanadai huyu dem ananilea na kuna tetesi kwamba anapata mshahara mkubwa sana coz ameajiriwa zamani na ana masters degree.

Mara nyingi nalala kwake, nimebahatika kumiliki usafiri(gari) mapema so nikiamka nampeleka kazini asubuhi then narudi zangu maskani. Juzi kati nikamuuliza kwa kumtega kwamba nataka anipe mtoto akakubali! Jana nikamwambia nataka nimuoe akakubali! Ana uzuri wa kawaida tu ila ni mstaarabu sana, muwazi, hana mambo mengi na ananiheshimu sana ingawa kanipita umri! Nafikiria kumuoa mara tu nikipata kazi, je kuna tatizo lolote hapo wajameni?

Raha ya ndoa ni amani na mapenzi motomoto kama unayopata we hangaika uje kwa kina sisi ambao tunapenda magari na mahela na out zisizo na mantiki.Ajira hamna dogo kama unabisha achana nae uone kama utapata hata hela ya kununua kifurushi cha extreme pack cha tigo,sitanii huku mtaani watu wanakosa hata hela ya kununulia condom na ped.
 
kama unampenda muoe unatuuliza nn au maisha yamekubana unataka kumuoa kwa kua yupo ktk system amua mwenyewe , utawaalika JF siku mambo yakienda kombo? ww ni mwanaume ingia mwenyewe au uache mwenyewe baadae usije laumu
 
muoe tu ila mzae faster faster
si unajua kuna umri ukifika hakuna kuzaa tena
kwa upande wa mwanamke?!!ishu kupendana bana!

we wapi wewe mtu upo nae wewe unatuuliza ss.ilihali hatumjui unataka tukushauri vipi.kuwa kama umeenda shule.age its just a number
 
Wadau mmenipa moyo sana, thanx a lot! Ila kwa wale walioponda pia sio mbaya, ni mawazo yao na yanapaswa kuheshimiwa sana. Nafikiri mimi nimuoe tu mara baada ya kupata kazi, mambo mengine ya 'shikamoo' n.k ntadeal nayo tu kiutu uzima...
 
Dogo jitume ipasavyo, tena mpe vitu adimu ili kila akikaa akuwaze wewe tu. Umri sio tatizo kama mmerdhiana nyie wenyewe bila kuweka interest ya kitu ila penzi la kweli tu. Unaweza kupata tabu sana na wanamke wa same age kuliko huyo kwa maana mnapendana kikweli.
 
Mkuu huo mzigo chukua wala usihofu chochote kwani umri kitu gani bana, ila usipoteze muda maana umri ukisogea sana utakosa watoto.
 
Mrembo35-mshikaji26=9 range of 9yrs! Bwana mdogo usipende vi2 rahc hivyo huyo ni mama mkwe wako regardless ana hela, gari n.k tafuta wa saiz yako na ni vizur aliye mdogo kwako. huyo anakaribia mesopoz na no longa ataishiwa ham ya kuduuuu. achana naye
 
wewe endelea tu na mchakato wa kumuoa umri hauna tatizo. mi nakupa baraka zangu zooote. LAKINI ANGALIZO: atakapozaa watot kama 2 ataanza kuzeeka kwa kasi kuliko wewe uwe tayari kuvumilia hayo hasa maneno kutoka kwa jamii inayokuzunguka maana wewe/nyinyi mnaweza mkawa hamna tatizo lakini ushangae wanajamii, ndugu jamaa watakavyoanza kuwazodoa na mkeo mzee n.k.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom