Recent content by the_Dili

  1. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Almost mwaka sasa toka huu uzi uje. Ningetamani kupata ushuhuda toka kwa member wa JF alieyenufaika na uzi huu baada ya kuanza business hii ya kisasa zaidi
  2. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Ukiweka line nyingine hata kama ni ya vodacom haifunguki. Simu ni line2 lazima data iwashwe kupitia line yenye respective mpesa acc. Pia wifi hazifungui app. They are improving so far
  3. the_Dili

    JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    Assume 70% ya 1 ya 3 na 4 ya PCM nchi nzima waombe UDSM ( chuo pendwa) unahisi competition itakuwaje?
  4. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

    Chake kipi na nyumba iliuzwa😃
  5. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Missiles za Al Houthi zinavyo Land hapo Tela Aviv

    Ngoja wacha🐐 waje
  6. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Hiki wanacho tufanyia si utaperi ni kutuongezea umasikini

    Haina noma
  7. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Nikoment ya mwisho mwisho😃
  8. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Mwacheni Mwami, kichwa kinawaka moto

    B lebo baa anamwita dalali. Anajua siri zake kibao na aliahidikuzimwaga na atachukua jimbo mapema sa5 asubuhi. Nafikiri Atakuwa kamkimbia bwana yule
  9. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    Abdul Tole (Tajiri Mubishi)
  10. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Kikawaida Meli na ndege hutumia Nautical miles/hr katika speed lakini computer inaweza kuibadilisha kwenda km/hr. Mfano nmewahi kuona baadhi ya ndege zikionesha equivalent ground speed ya ndege ikiwa ngani kwenye zile maps za kwenye vile vi screen vya kwenye seats.
  11. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

    Passport za kisasa za ePassport zina chip ambayo inaweza kuwa detected worldwide
  12. the_Dili

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Hiyo laki5 ilipaswa kuwa refunded
Back
Top Bottom