Hiki wanacho tufanyia si utaperi ni kutuongezea umasikini

Hiki wanacho tufanyia si utaperi ni kutuongezea umasikini

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,287
Reaction score
14,592
Asubuhi na mapema nimeamka zangu na wenge la usingizi, Nakuta message mbili kwenye simu yangu, Nikasoma ya kwanza inaniambia kwamba, "Ndugu samahani nimekutumia bahati mbaya SH 500,000, Nimejaribu kuludisha muamala umegoma naomba uniludishie,`` Yes mambo si ndo haya, Nikaanza kulukaluka kitandani chaga zikavunjika haitoshi kulikua na kisabufa kimechoka choka nikakibamiza teke kama la Mzize pesa si ipo nitanunua frat Tv, Mzuka ulikua ni mzuka kweli, Sasa ikabidi nifungue sms ya muamala, Nikakuta muamala umetulia kweli kweli, Kuja kushituka muamala haujatumwa na M-PESA wala Yas Maokoto ila umetumwa na namba imesaviwa MATAKO YAKO NILIKUTUMA UVUNJE CHAGA NA REDIO, Dah! Wakuu mzuka umenikata hadi sasa hivi sina amani.
 
tatizo watanzania MNAPENDA sana umbea ,kujitoa kupigania nchi hamtaki
 
Back
Top Bottom