Jeshi halina formula inayonyooka .. wala halikaririki ..mwanzo ilikua ni kwenda ujenzi ni uhakika kama intake kadhaa ujenzi ikwa deal, lakini sa hivi wajenzi walirudishwa. Ivyo ivyo Zamani kozi ya jkt ilikua ni miezi 6 lkini sa hivi ni miezi Mi 4 tu yani hamtofautiani na mujibu tu. Na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.