Asome ipi kati ya Bachelor of Economics & Finance (BEF) na Bachelor of Accounting & Finance (BAF)

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Hawa madogo wa sikuhizi wanafikiri UDSM ndo kila kitu wakati ilikuwa zamani sio kwa sasa. Mtu yuko tayari asome Faculty ya kijinga kisa UDSM. Nilimshauri dogo aachane na UDSM maana kwa faculty za biashara niliona wanazingua.

Dogo ameapply IFM na TIA, na CBE kwa course hizo, kati ya Faculty hizi mbili utamshauri mtu asome ipi?

1. Bachelor of Economics & Finance (BEF).

2. Bachelor of Accounting & Finance (BAF).

NB: Atasoma na CPA
 
Unafananisha BAF na uchafu
 
Bachelor of Economics and Finance, kozi marketable sana na hatojuta both private and government.
 
Back
Top Bottom