Naomba ufafanuzi kuhusu mali za wizi

Naomba ufafanuzi kuhusu mali za wizi

NANCA

Member
Joined
Jun 23, 2023
Posts
92
Reaction score
100
Wadau nimennua bati 2 chakavu bt at the end wanatokea watu wanasema bati hizo ni za wizi, hao watu wamesema tunaweza kuyamaliza kwa kuwapa noti na mie siko tayari na polisi walitupa nafasi ya kuyamaliza.

Sasa je nifanyeje. Wataalam wa sheria nawaomba mkuje maana wanataka tuyamalize kwa hela kesho. Embu nipeni mbinu za kisheria
 
Wanashria wamelala,hope wakiamka,watakujibu in accordance.
 
Zina alama gani? mpaka wanakupeleka polisi huoni kuwa hiyo ishu ni maji ya shingo? kukubali kuyamaliza huo ni mtego tu, huna uhakika wameibiwa items ngapi, jiandae kulipa mamilioni pale watakapo kugeuzia kibao.

Tafuta receipt ya manunuzi ya bati au kama ulishanunua mabati ya halali huko nyuma na ukapewa receipt, basi wafurushe wakafie mbali otherwise jiandae kuumia.
 
Wadau nimennua bati 2 chakavu bt at the end wanatokea watu wanasema bati hizo ni za wizi, hao watu wamesema tunaweza kuyamaliza kwa kuwapa noti na mie siko tayari na polisi walitupa nafasi ya kuyamaliza.

Sasa je nifanyeje. Wataalam wa sheria nawaomba mkuje maana wanataka tuyamalize kwa hela kesho. Embu nipeni mbinu za kisheria
Mwana JF unanunuaje vitu mkononi bila risiti??ukiambiwa hizo bati ziliibwa kwa mtu na huyo muibiwa alinyongwa au alibakwa kwanza kabla hajaibiwa utasema nini?ogopa sana kununua vitu vya mkononi,utakuja kupewa Kesi ya MAUAJI kiutaniutani tu.Kumbuka aliyekutwa na Mfupa ndie aliyeiba Nyama
 
Wadau nimennua bati 2 chakavu bt at the end wanatokea watu wanasema bati hizo ni za wizi, hao watu wamesema tunaweza kuyamaliza kwa kuwapa noti na mie siko tayari na polisi walitupa nafasi ya kuyamaliza.

Sasa je nifanyeje. Wataalam wa sheria nawaomba mkuje maana wanataka tuyamalize kwa hela kesho. Embu nipeni mbinu za kisheria
Aliyekuuzia ana kibali cha kufanya hiyo biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kubali kumalizana nao kwa kuwapa hiyo pesa ila weka probability ya kwamba ukiwalipa, wanaweza kwenda kudai kwamba kuna mali zingine uliiba.

2. Hawawezi kuthibitisha pasi na shaka kwamba hizo bati ni zao hivyo unaweza ukawakataa katu katu.
 
Kuna jamaa alikuja na senyenge ndefu tu alikua anataka aniuzie bei Chee tu machale yakanicheza nikaachana nayo azijapita siku mbili nasikia anatafutwa apo kulipo ibiwa izo senyenge nyumba iliyozungushiwa izo senyenge imeibiwa wayaring ya karibia million 2 zikiwemo taa way man switch switch na makoro Koro kibao
 
Wabongo wengi mnapenda Kitonga na hicho ndicho chanzo cha shida yote.
 
NIPO KTK HARAKATI ZA KUMKAMATA ALIYENIUZIA. Je nikifanikisha hilo nitakua salama? Au bado ngoma ni maji ya shingo?
 
NIPO KTK HARAKATI ZA KUMKAMATA ALIYENIUZIA. Je nikifanikisha hilo nitakua salama? Au bado ngoma ni maji ya shingo?
Tatizo utaambiwa unanunua vitu vya magendo.
 
Ningekuwa ndio mimi, siwezi kuleta ubishi katika mali za wizi. Bora bati za wizi, ingekuwa ndio vitu vya ndani unaambiwa vimeibiwa vitu vingi, du!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu dunia hii wafupi weusi Kama tako la kiboko, miguu matege na vitumbo viko juujuu havina dira kazi kusumbua vijana kwa vitu viduchu viduchu. Mimi niwaambie watu wa hvyo kua mfanye kazi hata Kama mmezeeka hzi shillingi za kuokotaokota kwa kusingizia vikesi mshenzi sio nzuri sanasana ni laana tu. We haiwezekani upoteze sh.10 afu uje useme sh.10000 hio ni laana na wengine tunaweza kubali kuyamaliza si kwa sbbu tunaogopa bali ni sbbu tunahtaji kujifunza na kuokoa mda ili tukazaloshe mali. Wazee wa hvyo mlaaniwe ninyi na vizazi vyenu, hio dhuruma ikawe kero kwenu na baraka kwa yeyote aliedhurumiwa. Ni aibu kubwa unapotaka kuihakikisha pesa ya dharuma Kama ipo sawa kwa kuihesabu Kama imetimia. Nimeyamaliza baada ya kumuonea huruma mtuhumiwa maana hakua na chochote kwa sasa, Ni kijana, mwadilifu na mtu mwema ambae alijiuzia asicuojua kua kina shida hvyo kama nsingemlipia ilibidi akae ndani maana wale washenzi waliongeza idadi. Hvyo imebaki mimi kumdai yeye na ameahidi leoleo jion kunilipa maana Kama angekaa ndani asingepata kule anapotarajia. Ila muombeeni sana asije akakengeuka maana akifanya hvyo sero patamuhusu. USHAURI NA UKOSOAJI NAPOKEA, ILA MKIZIDISHA SANA UKOSOAJI NATABADILIKA NA KUA KAMA WALE WA BANDARI.
 
Wadau nimennua bati 2 chakavu bt at the end wanatokea watu wanasema bati hizo ni za wizi, hao watu wamesema tunaweza kuyamaliza kwa kuwapa noti na mie siko tayari na polisi walitupa nafasi ya kuyamaliza.

Sasa je nifanyeje. Wataalam wa sheria nawaomba mkuje maana wanataka tuyamalize kwa hela kesho. Embu nipeni mbinu za kisheria
Wizi maana yake ni ushahidi.Wao wathibitishe kama bati ni zao ziliibiwa lini,waliripoti wapi.Na ww uthibitishe ulinunua wapi na ulilipa kiasi gani.Hao ni wahuni kama bati no kumalizana ni kuzichukua tu basi hayo ya kupeana hela ni uhuni
 
Back
Top Bottom