Recent content by The Red Pen

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, makomandoo kupamba Sherehe za miaka 53 ya Muungano Dodoma

    Hivi ule mchanganyo wa sehemu ya ardhi kutoka Tanganyika na Zanzibar ulifanyika wapi vile? Je, katika mchanganyo huo ; udongo kutoka Zanzibar ulihusisha mchanyato wa udongo kutoka visiwa vya Unguja na Pemba? Au udongo huo ulitoka kisiwa kimoja? Kuuliza si ujinga bali ni sehemu ya kutaka...
  2. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Namna ya kufungua kesi mahakamani

    Heshim utaratibu mliokubaliana polisi....
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Taratibu moshi unaachana na moto....
  4. T

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kuna waumini 12 walipanga kunitupia majini

    Ni vyema akaagiza wote wanaomiliki mbuzi weupe watiwe mahabusu... Maana hakuna namna
  5. T

    JamiiForums Tanzania DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Hiyo bar inapatikana maeneo gani..? Mbona inatudhalilisha jamani?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tishio dhidi ya TLS: Wanasheria Afrika Mashariki wamlima barua Waziri Mwakyembe

    Mambo ya kujitakia hayo.... Kwa nini mhimili mmoja wa serikali unataka kumeza mihimili mingine? Kiujumla bado tunasafari ndefu ....
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

    Afadhali angekuja na oparesheni " Panda Funika"..
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anasalitiwa, Nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Urambo na Maisha halisi ya Wanatabora

    Mfano mzuri wa WANAFIKI ni huyu MWALIMU MKUU wetu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme inakuja July 2017

    Tumechoka na maendeleo ya vitu... Tunataka maendeleo ya watu.. Eboooo....!!!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi gani iliwahi kumbwa na Janga la Asili na Rais wake hakuwahi kufika kutembelea wahanga?

    Ni Saddam Hussein rais wa Heze..govi..na..
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ndiye Rais anayeongea lugha nyingi duniani, 83 za ndani na 3 za kimataifa

    Aiseee...!! kumbe anamzidi hata SADDAM HUSEIN aliyekuwa RAIS WA KUWAIT..!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali itengeneze madawati ya Zege

    Hayo siyo madawati ni vimbweta...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mazuri na mabaya ya Rais Magufuli tangu awe rais wa Tanzania

    Naona mleta uzi yupo kwa kazi maalumu mbili.:- 1:Anajipendekeza ili avizie makombo ya teuzi zilizosalia. 2:Pengine ameahidiwa kupewa 10% ya millioni 7 zitakazopatikana kutokana na comment za wachangiaji kwenye mada za kijinga anazoleta humu. Ushauri kwa wanajamii forums:- Tuwe makini sana na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Lingetokea MSOGA ama CHATO lingepewa coverage ya kutosha....Maana maji ya washawasha na vifaru vingepelekwa ili kuhakikisha linakimbizwa ....huku UKAWA wakilaumiwa kuwa nyuma ya tukio...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, ufisadi ulisaidia kasi ya kukua kwa uchumi nchini

    Miaka zaidi ya 50 ya uhuru bado nchi inafanya majaribio kwenye maisha ya watu....?
Back
Top Bottom