Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
IMG_20170316_131910.png

========

Zanzibar is new Caf member

Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.

The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after the 39th Caf general assembly in Addis Ababa unanimously voted to admit the country's FA.

Tanzania FA president Jamal Malinzi made his presentation on behalf of the Zanzibar FA asking the assembly to admit Zanzibar.

"Zanzibar has been active over the years and it has a running league and they are independent. I don't see why they should not be admitted as an independent federation because they have their own constitution and statutes," Malinzi told the Caf assembly on Thursday.

In 2005 Zanzibar's move to join Fifa was rejected by the congress.

Chanzo: Zanzibar is new Caf member
 
Shirikisho la soka barani Afrika limepitisha bila kupingwa kuwa Zanzibar ni mwanachama wa CAF. Wanakuwa wanachama wa 55.
Hawa ni baadhi ya wachezaji wenye asili ya zanzibar..wakijiandaa vizuri watakuwa na timu bora.

Mwadini ally
chollo
mwinyihaji
morris
canavaro
makapu
Mudathir yahya
Mohammed issa
Ibrahim jeba
Ame ally
Amir amour janja
Awadhi juma
Khamis mcha viali
 
Hongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!

Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa
 
Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kabla ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
Zanzibar ni nchi, warudishiwe na kiti chao UN.

Karume aliwaingiza mkenge.
 
Ombi la Zanzibar kuwa mwanachama wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitishwa leo bila kupingwa. Zanzibar ni mwanachama wa 55 wa CAF.

Taaratibu Zanzibar inasonga mbele ukiangalia Suala la Vibatari ndani ya siku chache zijazo hii ni hatua kubwa kwao.

Swali Wimbo wa Taifa watatumia Upi? Je wachezaji wakihama kutoka Zanzibar Kuja bara Watahitaji zile International Transfer Certificate (ITC)?

===========

Zanzibar-FA-Logo.jpg

Zanzibar is new Caf member

Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.

The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after the 39th Caf general assembly in Addis Ababa unanimously voted to admit the country's FA.

Tanzania FA president Jamal Malinzi made his presentation on behalf of the Zanzibar FA asking the assembly to admit Zanzibar.

"Zanzibar has been active over the years and it has a running league and they are independent. I don't see why they should not be admitted as an independent federation because they have their own constitution and statutes," Malinzi told the Caf assembly on Thursday.

In 2005 Zanzibar's move to join Fifa was rejected by the congress.

Chanzo: Zanzibar is new Caf member
 
Nimemuuliza Jamal Malinzi naona bado ananitafutia jibu?

Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kaa ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
 
Je hii itaanza rasmi lini?

Hongera zao!!!
Wakati rukiendelea kutafakari.Kwenye Challenge si huwa tunakutana nao hawa ndugu zetu?Nyimbo huwa wanapiga zipi?Ila hii inaweza kutrigger wakaanza kuomba na vitu vingine na hatimaye kuleta vurugu kwenye Muungano (Na declare interests mm mpenzi wa Muungano wetu)
Nimemuuliza Jamal Malinzi naona bado ananitafutia jibu?
 
Hongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!

Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa
Great thinker......
In short, ccm wameshindwa kufikia malengo yao kufanya muungano kuwa Wa serikali moja kama malengo yalivyokuwa.

Nadhani sasa, ni wakati muafaka kudeclare constitutionally kwamba tuna nchi mbili tena, Tanganyika na Zanzibar.
 
Back
Top Bottom