Treni ya umeme inakuja July 2017

Treni ya umeme inakuja July 2017

Hamna kitu kinashndikana kwa shida yetu sisi watanzania ni kupinga kila kitu bila hata kufanya tafiti kidogo

Zipo treni za umeme ambazo cost yake ni ya kawaida kabisa kama CRH3 EMU hii inatengenezwa na Kampuni ya Siemens inagharimu dollar za kimarekani 1.3 billion na hii ni modern version kabisa ya 2008 ndo inatumika china
Ina uwezo wa kubeba abiria 556 na mengne meng

But issue hapa n cost ambayo n 1.3 billion (Usd) ambayo ukii convert kwa viwango vyetu inaezekana kabisa kununilika

Watz tupunguze longolongo tumsapot Rais

http://www.google.com/url?q=http://...ggNMAE&usg=AFQjCNFZhtXvsBG-3gLLHNHvtnOBEWbOow

Soma link hyo kwa maelezo kuhusu CRH3 EMU
 
Waelekeze wabongo waelewe wanapenda kujishusha hadhi sjui vp
 
Wewe utakufa na ulof.a na upumba.f wako. Wenzako wanawaza maendeleo wewe unakuwa na mawazo kama mchawi vile. Kupinga kila kinachopangwa. Sijui ni upunguwani
[emoji23] [emoji23] [emoji40]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Tz,East Africa na Kati na huenda Afrika nzima hakuna Treni zaidi ya Magari moshi
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Tz,East Africa na Kati na huenda Afrika nzima hakuna Treni zaidi ya Magari moshi
Ehiopia vp mkuu au hata hlo hulijui
 
Mhh!!! Kama fedha zipo mbona MSD wanaidai serikali fedha nyingi tu na hawalipwi na imesababisha washindwe kupeleka madawa muhimu mahospitalini na kusababisha ukosefu Mkubwa wa dawa muhimu kwenye vituo vya serikali.
 
Trenii ya umeme kabla ya kujenga reli?(umeme Wa mgao)kupata vichekesho kama hivi tuna neno Tanzania kwenda255......
 
Tumechoka na maendeleo ya vitu...
Tunataka maendeleo ya watu..
Eboooo....!!!!
 
Nyerere alikuwa anapinga sana "quantitative development" na kuhimiza sana "qualitative development". Madege,flyover, flow meters ni quantitative haviongezi capacity building ya wakaazi. Angeweza kupewa mtu au kampuni ikajenga au kununua na tukawa tunalipia. Elimu bora (siyo Elimu bure), afya bora n.k ndiyo vitu qualitative. Tukazanie hivi havitoki kichwani labda MTU afe.
 
Tatizo ni hizo ahadi lukuki zingine hazijaanza kutekelezwa,tunaletewa zingine au ni mbinu ya kuja kuombea kura?
 
Hizo treni zinakuja na reli zake halafu wanabandika hewani kuzunguka jiji la Dar? Au umekosea mwaka ni 2117?!!!
 
Kila nisikiapo ahadi nje ya bajeti nazidi kukata tamaa ya kuajiriwa, ya kupanda madaraja na kuongezewa mshara mpya, naiona jinsi miradi mingine yote nchini itakavyo simama na kujifia.
Nawaona jinsi Polisi na T.R.A wanavyo unganishwa kwenye ukusanyaji wa mapato.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kokosekana kwa umeme wa grid hakutamaanisha train hiyo ya kuhudumia wananchi wa dar itakosa umeme wa kuiendesha, huwezi kurun project ya huduma kwa kutegemea one source(grid), lazima uwe na standby source, kwahiyo sidhani kama upungufu wa umeme wa uhakika nchini kinweza kuwa ndio kikwazo kikubwa cha kutunyima maboresho ya jiji la dar ambapo ndio image ya TZ.

Rais pia asisahau ahadi nyingine Muhimu ya viwanda kwasababu watz wengi hawana ajira za uhakika lakini pia wawasimamie waajiri wengi wa binafsi ambao ajira zao zinawakandamiza watu wengi.

Asante kwa nyongeza

Lakini tunarudi palepale tunayo hiyo mipango au ni kutamka tu na kila kitu kitaji set mbele kwa mbele?

Ndivyo tunavyopaswa kwenda na kuishi kama taifa.......mambo mbele kwa mbele??
 
Kuna page zingine ukizisoma ni kama uko kwenye ndoto, tz hata 2030 tren ya umeme hatutakua nayo
 
. Uzuri Ngosha anajua deal za namna hii..atalala nao mbele.
Mwambie asisahau kulala mbele na wapiga deals wa: Escrow, Richmond cum Symbion, IPTL, nyumba za serikali, kivuko cha MV Darisalama, Lugumi, Meremeta, EPA, Simba Trust na wengine anaowafahamu.
 
Back
Top Bottom