Rais Magufuli ndiye Rais anayeongea lugha nyingi duniani, 83 za ndani na 3 za kimataifa

Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu

Hapo kwenye red bold ulilenga nini mkuu?
 
Hajui lugha bhana,yeye anajua tu salamu za lugha tofaut tofaut ila sio kwel et kla ktu kene lugha hzo anakjua
 
Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu

Yawezekana mtoa hoja amepokea hoja hii kutokana kwa wale wanaotoa takwimu za mapato ya kila mwezi,mada hii inaweza ikawa na lengo la kukusanya milioni 7 za faini ili ziweze "kubust" takwimu za mwezi huu,jipange upya hili limestukiwa.

Si Lugha tu anazozijuwa,anajuwa takwimu mbalimbali pamoja na historia za matukio mbalimbali kama "Saddam Hussein kuwa rais wa Kuwait",nampongeza kwa hili,hongera yake.
 
Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu
What's that got to do with better healthcare, poverty , unemployment etc ? Use ur brain before posting boy
 
Back
Top Bottom